Bila shaka yo yote ushirika wao utasambaratika mmoja wa viongozi akiondolewa madarakani kwa kuwa umoja huu hauna ridhaa ya wananchi!
Akihojiwa na BBC, Waziri wa Afrika Mashariki wa Uganda amesema wataendelea na mipango yao ya kiuchumi licha ya kushutumiwa na baadhi ya watu kuhusu ushirika wao wa siri.
Aidha ameshutumu wote wanaolaumu kutengwa kwa Tanzania na Burundi katika mipango hiyo licha ya nchi hizo kuwa sehemu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki!
Hata hivyo mbuge mmoja wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi amesema kuwa si busara kuzitenga Tanzania na Burundi hata kama miradi hiyo haitajengwa katika nchi zao kwa kuwa nazo ni sehemu ya Afrika Mashariki na kwamba wananchi wao wana maslahi kwa namna moja au nyingine!
huku Rwanda,kenya,Uganda hawatutaki...kule unguja na pemba hawatutaki tuna nini sisi?
Plan B.
Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.
Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.
plan b.
Tanzania,burundi na congo zianzishe community yao "the great lake community" na baadae inaweza kuwa federation.tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa uganda,kenya na rwanda walioko makao makuu ya ea arusha wawereplace na wafanyakazi wa congo watakaoungana na watazania na burundi.
Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko ea.
EAC na ife tu SADC ndo mpango mzima kwetu.
Plan B.
Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.
Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.
Plan B.
Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.
Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.
Hata hivyo mbuge mmoja wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi amesema kuwa si busara kuzitenga Tanzania na Burundi hata kama miradi hiyo haitajengwa katika nchi zao kwa kuwa nazo ni sehemu ya Afrika Mashariki na kwamba wananchi wao wana maslahi kwa namna moja au nyingine!
Ninavyofurahia kuwa mtanzania basi tu bhadungu bhapenzi! Hivi mnaojadili kuachwa na vi cha ngu n do a kama Rwanda,Uganda na Kenya lengo lenu ni nini? Mimi sihitaji hata kunyanyua mguu kwenda kwenye hivyo vijimbo,kwa sasa nawaachia nyie muendelee kujadili mie naenda kwa shemeji yenu.Big dili ni kuwacontain warundi kisha Congo tunapiga kazi kama alivyopendekeza mdau hapo juu alafu mambo kadhaa kama ya mpira tunajiunga na wenzetu akina COSATA kwisha habari yake,hawa wahuni wa EAC tunaachana nao mazima tena raia wao nao warudi makwao na mipaka ilindwe extensively