uganda imetolewa na zambia kwa penalti

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
uganda imeaga mashindano ya africa baada ya kufungwa penalti tisa kwa nane. mara ya kwanza Uganda ilivyo enda zambia ilifungwa goli moja na leo uganda imeifunga zambia goli moja lililopelekea mikwaju ya penalt. mia
 
kwenye mpira huwa hakuna short cut hata cku moja!unavuna ulichopanda,vyama vya soka ktk ukanda huu wa EA,ni blaa blaa tu.
 
Wamejitahidi sana Uganda,Zambia wameshinda kwa penati 9-8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…