uganda imetolewa na zambia kwa penalti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uganda imetolewa na zambia kwa penalti

Discussion in 'Sports' started by figganigga, Oct 13, 2012.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  uganda imeaga mashindano ya africa baada ya kufungwa penalti tisa kwa nane. mara ya kwanza Uganda ilivyo enda zambia ilifungwa goli moja na leo uganda imeifunga zambia goli moja lililopelekea mikwaju ya penalt. mia
   
 2. w

  white wizard JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kwenye mpira huwa hakuna short cut hata cku moja!unavuna ulichopanda,vyama vya soka ktk ukanda huu wa EA,ni blaa blaa tu.
   
 3. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 179
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ni mashindano ya nini sasa hayo ? Maana najua huku ligi kuu
   
 4. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,273
  Likes Received: 4,257
  Trophy Points: 280
  Wamejitahidi sana Uganda,Zambia wameshinda kwa penati 9-8
   
 5. Aloyceg1

  Aloyceg1 Member

  #5
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiwango cha zambia na uganda ni tofauti kabisa
   
Loading...