The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,798
Katika kutelekeza mabadiliko ya mfumo wa elimu unaoendana na mabadiliko ya sasa, serikali ya Uganda imetangaza mtaala mpya ambao umefuta mitihani kuanzia ya darasani hadi ya Tafa kwa wanafunzi wa form one hadi form four.
Duniani kwa sasa nchi nyingi zinafuta mfumo wa mitihani kwa sababu mwanafunzi anajifunza ili kufaulu mitihani na sio kuelewa na kua hauendani na mabadiliko ya sasa ya kiteknolojia. Hii pia itaondolea watoto msongo wa mawazo wa home work, assignment na kutembea wamebeba mabegi makubwa.
Binafsi naungana waganda, mfumo wa kusomea mitihani ni mfumo wa hovyo sana.
Government abolishes end of term exams in schools