Alikuwa kizuizini akatoka kizuizini muda kitambo kidogo, juzi ndio akajiapisha kisha akapelekwa kizuizini tenaNajiuliza nashindwa kupata majibu kwamba ilisemekana kuwa kizze Biesigwa alikuwa kizuizini mara ameapishwa jana alitokaje chini ya ulinzi mpaka kwenda kuapishwa? Na aliapishwa na nani?