Mbona huyu ELIZABETH MATAKA ni mswahili mwenzetu(TENA UTASEMA NI mBONGO), lakini anakuwa mjingamjinga hivi?Kwanini wameikomalia sana UGANDA?Naogopa wakimalizana na Ug, watasogea hapa Tanzania...We are finished now...heeeehhh!
Unajua wakati mwingine lazima mtu uwe masikini jeuri kuliko kukubaliana na mambo mengine machafu kabisa ili mradi tu mpate misaada ya hawa wahisani.Kampala
The government yesterday reiterated its opposition to homosexuality and said donors were free to withdraw their funding if they wish.
Ethics and Integrity Minister James Nsaba Buturo was responding to a Daily Monitor story that Sweden had joined other countries that are pressuring the government to discard a proposed law that would severely punish homosexuality in the country.
Homosexuality will not be promoted, encouraged or supported in Uganda, Mr Buturo added.
Mr Buturo told journalists at the Uganda Media Centre in Kampala that: We should remind them (the donors) that there is integrity to be defended and threats are not the way to go. If one chooses to withdraw their aid, they are free because Ugandans do not want to engage in anal sex. We do not care.
Kampala
The government yesterday reiterated its opposition to homosexuality and said donors were free to withdraw their funding if they wish.
Ethics and Integrity Minister James Nsaba Buturo was responding to a Daily Monitor story that Sweden had joined other countries that are pressuring the government to discard a proposed law that would severely punish homosexuality in the country.
Homosexuality will not be promoted, encouraged or supported in Uganda, Mr Buturo added.
Mr Buturo told journalists at the Uganda Media Centre in Kampala that: We should remind them (the donors) that there is integrity to be defended and threats are not the way to go. If one chooses to withdraw their aid, they are free because Ugandans do not want to engage in anal sex. We do not care.
Mkuu, mbona umeng'aka hivo? Sasa watu wote wakiwa mashoga nani ataendeleza kizazi mkuu? Ushoga unakataliwa hata na vitabu vya dini, na hata mila na desturi za makabila yetu.Death penalty kwa sababu tuu ni gay/lesbian ni ushenzi wa hali ya juu na hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kukubali uonezi kama huo kwa hawa watu, kusema gays/lesbian sio utamaduni wa mwafrica ni kupoteza maana nzima ya nini mana ya kuwa gay or lesbian,gay sio utamaduni wa mtu au taifa lolote,hao watu wapo dunia nzima na wanazaliwa hivyo na hakuna kitu cha kuwabadilisha,wengi humu wanajua ******* ambao ni ndugu zao,marafiki ,majirani etc wapo,walikuwepo na wataendelea kuwepo siku zote, kuwaua sio solution ni kuwakubali tuu kwenye society zetu nao waishi maisha yao bila kuingiliwa,kama hupendi magay kaa nao mbali ila usitake wauliwe au wapate mateso kwemnye society just kwa sababu huwapendi,hii inanikumbusha nikisoma History jinsi mtu mweusi alivyoonewa kwa sababu ya rangi yake tuu na kulikuwa na justification ya kila kitu na waliamini kabisa weusi ni half human na wanadeserve kuwa slave...Uganda waache wafanye wanachofanya lakini cha moto watakiona wakipitisha hizi barbaric laws,kama hawatarudishwa stone age wajue wataishia kula mizizi
I like the move, shida ni kwamba, will the Ugandan government be able to maintain this stand? Or will they give in under the "right" pressure?
Death penalty kwa sababu tuu ni gay/lesbian ni ushenzi wa hali ya juu na hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kukubali uonezi kama huo kwa hawa watu, kusema gays/lesbian sio utamaduni wa mwafrica ni kupoteza maana nzima ya nini mana ya kuwa gay or lesbian,gay sio utamaduni wa mtu au taifa lolote,hao watu wapo dunia nzima na wanazaliwa hivyo na hakuna kitu cha kuwabadilisha,wengi humu wanajua ******* ambao ni ndugu zao,marafiki ,majirani etc wapo,walikuwepo na wataendelea kuwepo siku zote, kuwaua sio solution ni kuwakubali tuu kwenye society zetu nao waishi maisha yao bila kuingiliwa,kama hupendi magay kaa nao mbali ila usitake wauliwe au wapate mateso kwemnye society just kwa sababu huwapendi,hii inanikumbusha nikisoma History jinsi mtu mweusi alivyoonewa kwa sababu ya rangi yake tuu na kulikuwa na justification ya kila kitu na waliamini kabisa weusi ni half human na wanadeserve kuwa slave...Uganda waache wafanye wanachofanya lakini cha moto watakiona wakipitisha hizi barbaric laws,kama hawatarudishwa stone age wajue wataishia kula mizizi
Hi Guys.
Can an expert in genetics explain to us the possibility of homosexuality being a genetic mishap?
Ktk uumbaji Mungu aliumba kila kiumbe kwa jinsi yake ya mwendelezo wa uzao na ni viwili viwili yaani kike na kiume. Hiyo ndio asili waweza kuiita dini ya asili au vyovyote uwezavyo lakini huo ndio uadilifu kwa maumbile. Sasa hawa mashoga/wasagaji waliopagawa na majini ya department ya ngono wanapaswa kutokomezwa popote waliko bila kujali ni wazungu,wahindi,waarabu au waafrika weusi. Na serikali zote makini zinapaswa kupiga marufuku makundi yote yanayojinadi kwa jina la wanaharakati wa haki za watu wanaotetea ukinyume na maumbile. Mashetani haya ndio yanayoharakisha mwisho wa siku kwa sayari yetu na maangamizi ukizingatia kuwa ukiharibu asili unavuna uharibifu!!!