Uganda at Crossroads with Gay Issue.

ByaseL

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
2,225
241
Rodney Muhumuza
Kampala

The government yesterday responded strongly to international criticism over the proposed anti-gay law, saying the process would continue uninterrupted.
Speaker Edward Sekandi told Daily Monitor that it was necessary “to do whatever we can to stop” homosexual liaisons in Uganda. “We don’t support that practice,” Mr Sekandi said yesterday.

But international pressure was mounting on Uganda to rethink a law that would make this country one of the most dangerous places for gay people.
In Trinidad and Tobago, the Caribbean nation that is hosting the 2009 Commonwealth Heads of Government Meeting, British Prime Minister Gordon Brown reportedly raised the issue with President Museveni. And the Canadian government, which is conservative, reportedly described the proposed law as “reprehensible, vile and hateful”.

“At the Commonwealth summit, we’ll convey Canada’s position that if that law is in fact passed, Canada would consider it unacceptable and a gross infringement of human rights in Uganda,” said Peter Kent, Canada’s minister of state for foreign affairs, according to a recent report in The Canadian Press.

The Anti-Homosexuality Bill (2009), now before the House’s Legal and Parliamentary Affairs Committee, proposes life imprisonment for acts of homosexuality and introduces a serious crime called “aggravated homosexuality”.

According to the proposed law, offenders must face death if they have sex with a minor or a disabled person, or are found to have infected their partners with HIV. The proposed law, if passed in its current shape, would also punish attempted homosexuality as well as the failure of a third party to inform the authorities of homosexual activity.
 
Washenzi sana wazungu!
Kwanini kulazimisha Africa iache mila na tamaduni zake, na kufuata matakwa yao?..To hell with them, Mu7 kaza buti, sheria iwe kali hivyo2!
 
Washenzi sana wazungu!
Kwanini kulazimisha Africa iache mila na tamaduni zake, na kufuata matakwa yao?..To hell with them, Mu7 kaza buti, sheria iwe kali hivyo2!

Hiyo ndio Globalization (Dunia kama kijiji), dini moja, utamaduni mmoja na uchumi mmoja,
kazi hipo
 
I like the move, shida ni kwamba, will the Ugandan government be able to maintain this stand? Or will they give in under the "right" pressure?
 
MAMBO ya ajabu hayo
kama inavyosemekana kuwa watakuja kutumaliza na tamaduni zao ndio choko choko zao hizo.
Afrika tunafurahia familial ties na malezi ni ya wazazi tukiruhusu uzungu wao mpaka kwenye mambo kama hayo ili tupate misaada au kura za wananchi tumekwisha.UKIMWI utatumaliza na jamii itaharibika WAAFRIKA TUNG'ANG'ANIE MILA ZETU NZURI ZILE ZETU MBAYA NA ZA WENGINE MBAYA TUZIKIMBIE KAM UKOMA.
 
Washenzi sana wazungu!
Kwanini kulazimisha Africa iache mila na tamaduni zake, na kufuata matakwa yao?..To hell with them, Mu7 kaza buti, sheria iwe kali hivyo2!

Hapo ndo ninapojitahidi kuwa speechless!!! wazungu mbona hawana adabu lakini???? they just want to drag us vile waonavyo wao!!! Kila baya linalotokea kwao wanataka kutulazimisha na sisi tubugie tu!!!
 
I like the move, shida ni kwamba, will the Ugandan government be able to maintain this stand? Or will they give in under the "right" pressure?

Injinia hilo nalo neno!! maana tunaanzaga na misimamo yet mikali afu baada ya vitisho tunaufyata mkia kimya tunabaki...hewala bwana!!!
 
Wazungu wamekwisha kuwa morally corrupt,lost and they dont know the wrong from the truth.
Kama wanaona wao wanaweza kuoana huko kwao wanaume kwa wanaume, wawalete wanawake wao Afrika tuendeleze kuijaza dunia.
Ki ukweli mtu asiye na maadili kama hawa wazungu ni haki kuwaita washenzi.
 
Wazungu wamekwisha kuwa morally corrupt,lost and they dont know the wrong from the truth.
Kama wanaona wao wanaweza kuoana huko kwao wanaume kwa wanaume, wawalete wanawake wao Afrika tuendeleze kuijaza dunia.
Ki ukweli mtu asiye na maadili kama hawa wazungu ni haki kuwaita washenzi.


Na ni hao hao waliomiletea deen mnayoitetea.

Labda ianzishwe deen ya kiafrika ambayo haiko base na wazungu.
 
Na ni hao hao waliomiletea deen mnayoitetea.

Labda ianzishwe deen ya kiafrika ambayo haiko base na wazungu.
Mkuu siipati mantiki ya msimamo wako.
Kwa hiyo Waganda wamekosea au?
Hapa kuna tatizo la ushoga unaotetewa na wazungu washenzi sasa dini inaingiaje?
Na ni dini ipi waliyoleta hao unaowaita wazungu inatetea ushoga?
 
Mkuu siipati mantiki ya msimamo wako.
Kwa hiyo Waganda wamekosea au?
Na ni dini ipi waliyoleta hao unaowaita wazungu inatetea ushoga?

Waganda hawakukosea chochote ila nikwamba.
Hao hao walioleta deen ambazo zote zinaukataza ushoga sasa wanaruhusu viongozi wakubwa wa deen hizo hizo kuwa mashoga. nimesahau ile nchi moja ya Ulaya kaskazini ambayo imeruhusu. msagaji kuwa sijui wanamuita nani.
Kuruhusu pia mashoga kuoana kwenye kanisa lao.

Nakumbuka kuna habari moja ilitoke kule Hawaii.

Tourist guide alikua anawaeleza wageni kwamba wamisionari walipokuja Hawaii wakawafundisha watu kuvaa nguo.
Wazungu wakapiga makofi nakufurahia.

Tourist guide hajamaliza baada ya makofi ya wazungu akasema Ironicly watoto wa hao hao wamisionari sasa wanaanzisha nude beach in Hawaii

Wazungu kimyaaaa!

Shangaa hao hao walioleta vitabu vinavyokataa ushoga ndio wako mstari wa mbele eti wanasema haki za binaadamu.

Kwahio waafrika au third world hawewezi ku- escape huu uzungu.

Heri ya mababu zetu wa zama za kale ambao hawakumuabudu Yesu au Muhammad
 
Na ni dini ipi waliyoleta hao unaowaita wazungu inatetea ushoga?

Nimeipata hii hapa page yenyewe


Mashoga sasa kufunga ndoa kanisani Sweden
babukijana
user_online.gif
22nd October 2009, 07:36 PM

Church of Sweden says yes to gay marriage

The Synod of the Lutheran
Church of Sweden has come down in favour of church weddings for homosexuals in a vote held on Thursday morning.
The decision, which is based on a proposal from the church’s governing board, means that the Church of Sweden will conduct wedding ceremonies for both heterosexual and homosexual couples.

The proposal was approved by 176 of 249 voting members.

The decision comes just three days after the 30th anniversary of the date when homosexuality stopped being classified as a disease in Sweden.

“The Synod’s decision takes a stance in favour of an inclusive view of people. Regardless of whether one is religious or not, this affects the entire social climate and the view of people’s equal value,” Åsa Regnér, head of the Swedish Association for Sexuality Education (RFSU) - the country's largest
gay rights group, said in a statement.

In June, the church board took the first step towards permitting same-sex marriages by submitting a petition to the Church of Sweden Synod – the church's highest decision-making body.

The board proposed the church continue to perform wedding ceremonies following new legislation which came into force on May 1st and grants same-sex couples in Sweden the same legal marriage status as heterosexuals.

Current church regulations will likely continue to apply in practice, with some alterations, such as replacing “man and wife” with “lawfully wedded spouses” when a homosexual couple is married.

Individual pastors would also still be able to refuse to perform marriage ceremonies for same-sex couples.

Since 2007, the Church of Sweden, which counts around 74 percent of Swedes as members, has offered gays a religious blessing of their union.

The ruling by the Synod, which has 251 delegates - two of which were absent from Thursday's vote, puts Sweden among the first countries in the world to allow gays to marry in a major church.

Representatives from the Catholic and Orthodox churches in Sweden, however, were disappointed by Thursday’s decision.

“It is with great sorry that we receive news that the Church of Sweden’s Synod has today decided to wed same-sex couples that it will be referred to as marriage. This is a step backwards, not only from Christian tradition, but also from all of the major world’s religions views of what marriage is,” write Vicar Fredrik Emanuelson of the Catholic Church and Father Misha Jaksic, coordinator of the family of Orthodox Churches at the Christian Council of Sweden (CCS), in a joint statement.

“We don’t wed same-sex couples in our churches and faith communities because doing so stands in clear opposition to the church’s tradition and to our entire view of creation.”

In moving ahead with the decision to perform same-sex marriages, the Church of Sweden also ignored concerns expressed earlier this year by the Church of England in a strongly worded letter to Swedish archbishop Anders Wejryd that the move could lead to “an impairment of the relationships between the churches”.

Church of England spokesperson Steve Jenkins confirmed that relations between the two churches may be headed for a turbulent phase in the wake of the decision.

“Those concerns remain,” he told The Local, referring to the letter from English bishops Christopher Hill and John Hind.

He added that he didn’t know of any plans by the English Church to issue a formal statement in response to the Church of Sweden’s decision.
 
Kiswahili

KANISA la Kiinjili la Kilutheri lenye waumini wengi zaidi nchini hapa, limekubali kubariki ndoa za watu wa jinsia moja.

Sweden, imekuwa ni nchi ya kwanza duniani kuruhusu mashoga kuoana ndani ya kanisa hilo kubwa duniani.

Hatua ya kanisa hilo imekuja ikiwa ni miezi mitano tu baada ya serikali ya hapa kulifanya suala la watu wa jinsia moja kuoana kuwa la kisheria.

Karibu asilimia 70 ya wakuu 250 wa kanisa hilo, walipiga kura kuunga mkono kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana ndani ya Kanisa la Kilutheri.

Taarifa ya kanisa hilo ilieleza kuwa, hatua hiyo itaanza kutekelezwa kuanzia Novemba 1.

Kanisa la Lutheran limejiunga na imani nyingine chache duniani zinazokubaliana na ndoa za jinsia moja.

Nchini hapa, kati ya watu wanne, watatu kati yao ni waamini wa dhehebu la Kilutheri. Kwa maana hiyo, robo tatu ya raia wa nchini hapa ni waumini wa dhehebu hilo, japo idadi ya wanaohudhuria ibada imepungua sana.

Kanisa la Kilutheri nchini hapa, ambalo lilikuwa likiongoza nchi hadi mwaka 2000, linaungana na Bunge ambalo lilipitisha sheria ya kuruhusu watu wa jinsia moja kuoana, ambako utekelezaji wa sheria hiyo ulianza rasmi Mei 1, mwaka huu.

Hata hivyo, baada ya Bunge kupitisha sheria hiyo, maamuzi ya wakuu wa kanisa hilo kuruhusu ndoa za jinsia moja yalichukua muda.

Sweden pia imefungua milango yake ya kuruhusu wanandoa wa jinsia moja kupata haki ya kuasili watoto.

Makanisa madogo nchini hapa ya Orthodox na Roman Catholic yalieleza kusikitishwa na maamuzi hayo ya Kanisa la Kilutheri.

Katika taarifa yao ya pamoja, kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini hapa, Fredrik Emanuelson na ofisa mwandamizi wa Kanisa la Orthodox, Misha Jaksic walisema: "Kwa masikitiko tumejifunza uamuzi wa viongozi wa kanisa la Sweden.

"Katika makanisa yetu na waamini, hatutaruhusu ndoa za jinsia moja, kwamba mtazamo huo unapigana na tamaduni na malengo ya uanzishaji makanisa."

Wakati Kanisa la Kilutheri likifikia hatua hiyo, Kanisa la Anglikana lipo katika hatari ya kusambaratika baada ya kutokea mgawanyiko mkubwa kutokana na baadhi ya nchi waamini wa kanisa hilo kuruhusu usimikaji wa wachungaji mashoga.

Ingawa kulikuwa na ripoti kuwa viongozi wa juu wa Kanisa la Anglikana nchini Marekani walikubaliana kusimamisha usimikaji wa wachungaji mashoga ili kuzuia mgawanyiko katika kanisa hilo, hivi sasa kanisa hilo lipo katika ubishani mkali usiokwisha, huku baadhi wakipinga kuruhusu ndoa za jinsia moja ndani ya kanisa na hivyo kusababisha mgawanyiko mkubwa.

Makanisa mengi ya Anglikana katika nchi za Afrika yalitishia kujiondoa katika ushirika huo wa dunia nzima baada ya kusimikwa askafu shoga zaidi ya miaka mitano iliyopita.

Kwa upande wake, Kanisa Katoliki ambalo haliruhusu hata makasisi wake kuoa, linapinga vikali ndoa za jinsia moja.

Kiongozi wa kanisa hilo duniani, Papa Benedict XVI amekuwa akilaani ndoa za watu wa jinsia moja.

Papa amekuwa akishambulia vikali kile alichokiita "uhuru wa vurugu" wa mtindo wa kisasa wa watu wa jinsia moja kufunga ndoa.
 
Wakina muhammad nao

http://www.al-fatiha.org/

Al-Fatiha

Mission Statement

The Al-Fatiha Foundation is an international organization dedicated to Muslims who are lesbian, gay, bisexual, and trasngendered, those questioning their sexual orientation or gender identity, and their friends. Al-Fatiha's goal is to provide a safe space and a forum for LGBTQ Muslims to address issues of common concern, share individual experiences, and institutional resources. The Al-Fatiha Foundation aims to support LGBTQ Muslims in reconciling their sexual orientation or gender identity with Islam. Al-Fatiha promotes the Islamic notions of social justice, peace, and tolerance through its work, to bring all closer to a world that is free from injustice, prejudice, and discrimination.

Goals and Objectives

Support Muslims who self-identify as lesbian, gay, bisexual, transgender, and those who are questioning their sexual orientation or gender identity.

Provide a supportive and understanding environment for LGBTQ Muslims who are trying to reconcile their sexuality or gender identity with Islam.

Empower LGBTQ Muslims by creating safe spaces to share individual experiences, advocating on their behalf in national and international forums, and providing information about institutional resources.

Foster spirituality among LGBTQ Muslims.

Encourage dialogue with the larger Muslim community around issues of sexuality and gender.

The Al-Fatiha Foundation aims to accomplish its mission, goals, and objectives by:

Establishing local support & discussion groups for LGBTQ Muslims in the U.S. and abroad.

Holding regional, North American, and international meetings.

Outreach on the internet.

Past, Present & Future of the Foundation
 
Ktk uumbaji Mungu aliumba kila kiumbe kwa jinsi yake ya mwendelezo wa uzao na ni viwili viwili yaani kike na kiume. Hiyo ndio asili waweza kuiita dini ya asili au vyovyote uwezavyo lakini huo ndio uadilifu kwa maumbile. Sasa hawa mashoga/wasagaji waliopagawa na majini ya department ya ngono wanapaswa kutokomezwa popote waliko bila kujali ni wazungu,wahindi,waarabu au waafrika weusi. Na serikali zote makini zinapaswa kupiga marufuku makundi yote yanayojinadi kwa jina la wanaharakati wa haki za watu wanaotetea ukinyume na maumbile. Mashetani haya ndio yanayoharakisha mwisho wa siku kwa sayari yetu na maangamizi ukizingatia kuwa ukiharibu asili unavuna uharibifu!!!
 
The Observer

The presence in Kampala of the United Nations AIDS envoy, Elizabeth Mataka, capped a week of increasing pressure on President Museveni and Ndorwa West MP, David Bahati, over their campaign against homosexuality.

Essentially Ms Elizabeth Mataka, the UN Secretary General’s Special Envoy on AIDS in Africa, came to Uganda to attend events to commemorate World AIDS Day. But The Observer understands that prior to that, she met MP Bahati and was expected to meet President Museveni to plead with the two men to respect the rights of gay people.

In October, Bahati tabled the Anti-Homosexuality Bill 2009 in Parliament, seeking more severe punishment for homosexuality, which is already illegal in Uganda. Among other sanctions, the law proposes the death penalty for aggravated homosexuality – where the offender has HIV or the victim is below 18 years of age, or is a disabled person.

According to diplomatic sources, Mataka was expected to put Museveni in a tricky situation by demonstrating to him how the proposed anti-homosexuality bill will frustrate the impressive fight against HIV/AIDS in Uganda for which the President has for long enjoyed kudos.

Uganda managed to reduce national infection rates from 18% in 1992 to around 6.5% todate. Uganda’s AIDS and human rights activists have warned that the proposed law would force homosexuals further underground and beyond the reach of health workers.

On Monday, Mataka was understood to have held lengthy discussions with Bahati to press him to abandon his anti-homosexuality drive. A lady who answered the phone at UNAIDS would not confirm Mataka’s meeting with Bahati, referring this writer to a press conference she was due to hold yesterday.

She, however, said that Botswana-born Mataka was holding several “high-level meetings with ministers and other officials.”
Asked about the meeting, Bahati said it was private and declined to say whether he considered softening his position. But he said the meeting was a “positive and constructive engagement.”

Bahati also refused to clarify reports originating from the United States that his anti-gay campaign was linked to an ultra-conservative group known as The Family. As we reported last week, an American journalist and author Jeff Sharlett told National Public Radio that Museveni and Bahati were in bed with The Family, a group he said fights homosexuality and promotes dictatorship. (See Museveni, Bahati named in US ‘cult’, The Observer, November 26 - 29)


Bahati was, however, reluctant to speak about his alleged relationship with the group that reportedly holds Hitler and Stalin as great students of Jesus. He suggested that the claims were simply a ploy to derail his campaign against homosexuality
 
Essentially Ms Elizabeth Mataka, the UN Secretary General’s Special Envoy on AIDS in Africa, came to Uganda to attend events to commemorate World AIDS Day. But The Observer understands that prior to that, she met MP Bahati and was expected to meet President Museveni to plead with the two men to respect the rights of gay people.

>

Mbona huyu ELIZABETH MATAKA ni mswahili mwenzetu(TENA UTASEMA NI mBONGO), lakini anakuwa mjingamjinga hivi?Kwanini wameikomalia sana UGANDA?Naogopa wakimalizana na Ug, watasogea hapa Tanzania...We are finished now...heeeehhh!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom