Ugali Kwa Mlenda

Aiyaaaaaaaaaa, ungekula dona na huo mlenda walah ningekuona mjaaaaanja! Sasa sembe mweeeeeeee!!
 
Hivi hata mlenda unasaidia Kuongeza heshima?

Ndio maana yake.....ugali dona na bamia......fresh ya shamba......organic foods......
Sasa hao wanaojifanya hawali mlenda.....wanabaki kubugia maGMO.......ndio hao tunaokutana nao wakitafuta super shaft mitaani.......
 
asanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ndio maana yake.....ugali dona na bamia......fresh ya shamba......organic foods......
Sasa hao wanaojifanya hawali mlenda.....wanabaki kubugia maGMO.......ndio hao tunaokutana nao wakitafuta super shaft mitaani.......
Sasa wewe unajuaje kama wanatafuna super shaft? Na utakua na vimelea vya umbea wewe Maana kupita mitaani unawachunguza wanaume wa wanatafuna dawa ya nguvu za kiume huo ni zaidi ya umbeya sasa. Anyway, Inawezekana wewe ni machinga labda.....
 
Sio wanatafuna......wanatafuta.....he he he......alafu mimi feminine ujue......umbea talent........
Mwanaume unamkuta anakula kispi yai la kuku wa kisasa.......unataka nimfikirieje.......?.....wanaume kuleni ugali wa mlenda.......kula malapulapu mnatunyima haki zetu za msingi........
 
Vipi nikila hivi, jee haki yako ya kiuweledi utaipata?
 
Attachments

  • IMG_20160208_081514.jpg
    125.3 KB · Views: 135
watu wa uchagani hatupendi hiyo kitu
 
Mlenda ni mboga yetu kuu ya asili kule urangini kwetu kondoa.
 
Hiyo huko kwenye bakuli ni kambale.......?.....kambale ana vitamins muhimu sana.......
Yeeeeeeeeeesi mama ni kambale na dona hilo, alafu humo kwenye kambale kumechangwanywa nyanya chungu sasa. Yani hapo utasema poo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…