Ugaidi waitesa CCM

Gazeti hili limepoteza mwelekeo kabisa manake kinachoandikwa hakina uhusiano kabisa na uhalisia.
 
Nami niliwahi kuwaambia kina chama na ZeMarcopolo kuwa "Ukweli huwa una tabia ya kukawia uliko kusudiwa kufika lakini huwa hauachi kufika".
sasa hivi kuna kamtindo kanafanyika ndani ya JF,kuondoa mada,kwa mfano kuna mada iliyojitokeza ya nani achinje huko Geita wameiondoa japokuwa ilikuwa inatakiwa ichambuliwe,sasa sijui wanaitoa kwa faida ya nani, maana kwa mujibu wa mada,ngombe ameletwa kwenye msiba ikashindikana kuchinjwa kwa sababu waislam walitaka wachinje wao na wakiristo walitaka wachinje wao. sasa badala ya kuweka wazi hali ilivyo,tunaficha mambo, hapo kinachotakiwa ni serikali itoe tamko bila wanga kwamba inapotokea mkusanyiko wa waislam na wakiristo ni nani anatakiwa kuchinja, ukimya wa serikali katika suala hili unaweza kutuchafulia utulivu tulionao
 
bado chadema kazi haijaisha ule mpango wa serikali ya ccm kujipindua desember upo njiani.
 
uhuru linalo uza copy 10 Tanzania nzima lenyewe ni la kichunguzi?
hata hiyo idadi ya copy uliyotaja sio kwamba yameuzwa keshi mezani bali yanatokana na wateja wanaochukua kwa bili na ni baadhi ya ofisi za serikali na kuna wanaccm hawalinunui hata
kidogo
 
Hata udini wanaueneza ccm, halafu watakuja kuiframe chadema kuwa ndio chanzo....
 
Wanazuoni walishasema: unaweza kuwadanganya watu wote wakati fulani' lakini huwezi kuwadanganya wote wakati wote

BOB MARLEY AND THE WAILERS kama ckosei "YUO CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIMES BUT YOU CAN'T FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIME SO KNOW U SEE THE LIGHT STAND UP FOR UR RIGHT.umenikumbusha mbali sana mkuu.
 
ZeMarcopolo; Acha kupotosha mada, wapi Tanzania Daima wamesema Lwakatare ni innocent? Mbona wameandika kwamba amebaki na kesi ya kula njama ambayo anaweza kupata dhamana.Tatizo lako wewe na Mwigulu ni kutokubali ukweli kisa umetoka Tanzania Daima, cha kushangaza hilo gazeti la uhuru halinunuliwi hata na hao wabunge wa CCM!
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana ziliwekwa SIKU 40.....Mwenye akili na ufahamu na atambue maana kuu iliyojificha kwenye tarakimu hii muhimu ktk mambo mbalimbali...
 
Gazeti la UDAKU Tanzania Daima linafanya hila za kupotosha kuwa Lwax yuko innocent. Ukweli ni kwamba Lwax ana kesi ya kujibu.

Mbona hamjibu maswali mnayoulizwa?Ana kesi ya kujibu kwa mashtaka yapi?
 
ZeMarcopolo; Acha kupotosha mada, wapi Tanzania Daima wamesema Lwakatare ni innocent? Mbona wameandika kwamba amebaki na kesi ya kula njama ambayo anaweza kupata dhamana.Tatizo lako wewe na Mwigulu ni kutokubali ukweli kisa umetoka Tanzania Daima, cha kushangaza hilo gazeti la uhuru halinunuliwi hata na hao wabunge wa CCM!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mohamedi Mtoi
Kabla hujaposti jenga utamaduni wa kusoma ulichoandika hivi kwa akili yako ukweli unaoihusu CCM utaandikwa Tanzania Daima?
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz

We unadhani ukweli ambao CCM imefanya ufisadi utaandikwa wapi?Au ni ukweli gani unaouzungumzia?
 
Last edited by a moderator:
Gazeti la UDAKU Tanzania Daima linafanya hila za kupotosha kuwa Lwax yuko innocent. Ukweli ni kwamba Lwax ana kesi ya kujibu.

"h a t u a y a ma h a k ama k u f u t a ma s h t a k a y a u g a i d i d h i d i y a L wa k a t a r e y ame i n u s u r u z a i d i C C M k u l i k o C H AD E MA , kwa n i k ama k e s i i n g e e n d e l e a c h ama h i c h o c h a u p i n z a n i k i l i k uwa k i me a n d a a u s h a h i d i mk a l i amb a o u n g e i umb u a C C M , s e r i k a l i n a J e s h i l a P o l i s i ."
 
Narudia ndoa ya sisimem na vyombo vya dola ni mauti yetu jitoeni kama idara ya mahakama.hata chadema ikipata mamlaka polisi,usalama na majeshi watakuwepo watukuwepo,
KANU imezikwa kenya oyeee.
acheni kucheza michezo ya zama hiki ni kipindi cha digital
heri kuamini ccm itakufa ila mm na ww tutijenga tanzania hata bila ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…