arkam mpogoro
Member
- May 20, 2025
- 20
- 10
Hivi karibuni katika kuanza kwa mchakato wa udahili wa wanafunzi wa shahada mbalimbali katika Chuo kikuu cha sokoine( SUA) kumekuwa na mabadiliko kidogo ya uondoaji na uunganishwaji wabaadhi ya programu za shahada mbalimbali kama ifuatavyo
1. Shahada ya sayansi ya usimamizi wa malisho yaani Range science and management, imeunganishwa na shahada ya sayansi ya wanyama ( animal science) na kuunda shahada ya sayansi ya wanyama na uzalishaji ( animal science and production)
2. Shahada ya sayansi ya Family consumer sciences imeondolewa chuoni hapo.
3. Shahada ya uhandisi wa uchakataji wa mazao na mavuno( Bio processing and post hervesting engineering) imefutwa chuoni hapo
4. Shahada ya sanaa ya maendeleo ya vijijini( Rural development) imeondolewa
5. Pia shahada ya agriculture general, agriculture extension, na Agronomy zote zimeunganishwa na kutengeza shahada ya sayansi ya kilimo, yaani Agriculture science.
JE NINI MAONI YAKO KUHUSU WAHITIMU NA WANAFUNZI WANAOMALIZIA MIAKA YAO YA MASOMO KATIKA SHAHADA HUSIKA AMBAZO ZIMEFUTWA AU KUUNGANISHWA KWA PAMOJA???