M MPENDA USAWA Senior Member Joined Oct 15, 2012 Posts 169 Reaction score 30 Aug 3, 2014 #1 Ndugu habari, Nna ufuta tani 2 natafuta soko wakuu,nilipokuwa nauza price imeshuka sana nw ninao tu store!upo magomeni mwenye kujua soko au kuhitaji tuwasiliane kwa 0712720080. Shukrani. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ndugu habari, Nna ufuta tani 2 natafuta soko wakuu,nilipokuwa nauza price imeshuka sana nw ninao tu store!upo magomeni mwenye kujua soko au kuhitaji tuwasiliane kwa 0712720080. Shukrani. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 Aug 3, 2014 #2 Na huko stoo panya na wadudu waharibifu wanazidi kuushusha bei zaidi! Ujasiliamali ni shidaaa!
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 Aug 3, 2014 #3 Boss nautafuta huo ufuta lakini nataka ufuta mweupe