katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Huyu ni ke mkuuAisee we jamaa vip asa sie kama tunapenda wanawake warefu au wafupe ndo ikubadilishe nawe uoe kama wetu ama?
Daah sorry mkuu sikujua mpaka uliponshtua ndo nmeenda chungulia.[emoji23][emoji23]Huyu ni ke mkuu
Khaaa.....Habari zenu
Mimi na swali katika mapenzi uwe msichana au mvulana unavutiwa na mtu mfupi au mrefu?
Kwamaana wengine wameoa wake warefu wengi wafupi .
Ila napenda kujua mitazamo yenu pia .
Bado katoto kazuriUna miaka mingapi?
[emoji23] [emoji12]Bado katoto kazuri
Hilo jina mwanaume hawezi jiita hvyoDaah sorry mkuu sikujua mpaka uliponshtua ndo nmeenda chungulia.[emoji23][emoji23]