[emoji116] [emoji116] [emoji116]Tatizl kubwa ni kwa binadam kutoitambua kesho yake ikoje! Wanaopotea walau wanajua waliko sasa hivi! Giza kuu ni kwa wale wanaowapoteza na kuwanyamazisha wenzao, hofu yangu ni moja tu, wanaijua na kuitambua kesho yao itakuwaje? Au wamepigwa upofu ili maandiko ya manabii na mitume yatimie!!?
Nimejifunza kitu kikubwa sana mkuu[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nilitarajia kujitokeza watu wa aina yakoUshindwe na ulegee kwa jina la kristo yesu
Nakuona unamtangaza lucifer kwa nguvu zote. Ushindwe kwa jina la yesu
Sio kila suala lazima lijadiliwe kisiasa kuna mambo mengine lazima tuyajadili kiimani zaidi kwa sabab unaposema chanzo cha yote ni CCM je hayo mengine yanayoendelea huko Libya chanzo chake ni CCM..??? Yanayoendelea sehem mbalimbali za dunia ni kwamba Shetani anatumia viongozi wetu ili kuzimu kupate kushiba lkn kama alivyosema Mshana Jr ni kuwa kuzimu hakujawahi kutosheka.
[emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144]Fuatilia historia na chimbuko la TAIFA lako utaelewa kwa nini niliandika vile...
Kama kiongozi wa kwanza wa TAIFA (kilicho cha kwanza ni lango) alizikwa kaburini kama sehemu ya kafara na zindiko, je TAIFA litakuwa salama?
Hakuna kitu kina harufu kali kama damu ya mtu... Itakunukia hata usingiziniDamu hudai Damu
Hakuna atakayeishi milele
Hata mawakala wa mauji nao wataishibisha kuzimu roho zao
Yapo mabaya yaanza kuwakumba wanaotenda maovu ili kutoa roho.
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Hakika...tena ikiwa ilikuwa haina hatia ukaitoa....ili kutimiza matakwa yako...ya kupata ulichotaka....
Cheo...cha Damu...hakina raha
Walinzi tunaona mengi usiku
Haswa tukipangiwa malindo ya wakubwa wa Dunia hii ya giza
Tuliko sisi huku
kuna kitu kimoja duniani,naam,viwili ambavyo ukidhulumu havitakuacha salama;DAMU na JASHO la mtu.Hakika...tena ikiwa ilikuwa haina hatia ukaitoa....ili kutimiza matakwa yako...ya kupata ulichotaka....
Cheo...cha Damu...hakina raha
Walinzi tunaona mengi usiku
Haswa tukipangiwa malindo ya wakubwa wa Dunia hii ya giza
Tuliko sisi huku