Ufunuo wa anguko la uharibifu

Hakika..!!! Inahitajika toba ya nguvu
Utubu kwa kosa lipi labda la kuiweka Sisiemu madarakani kwa maana ukitazama tawala zote zilioandikwa na mleta mada, Sisiemu is the common intersection ukiacha kwamba wote ni binadamu...

Hao mabwana waliikabidhi nchi yako kwa miungu ya dunia hii, katika ulimwengu ambao wasio haki huuendea...

Ushahidi wa yote hayo upo katika matamshi ya hotuba kadha wa kadha zilizopo maktaba, wahusika wakieleza kwa namna mbalimbali ambavyo walivyozikwa na mbuzi wakiwa wazima, walivyolala juu ya makaburi n.k na yote hayo yalifanyika kwa niaba ya NCHI...

Hivyo hatma ya nchi ilishajengwa juu ya misingi ya tawala za giza ambazo lazima ziendelee kulipwa sadaka...
 
Matokeo ya madhabahu za giza walizojenga tangu enzi na enzi... Zikifuata mkondo ule ule na kudai Makafara ya damu kwa kila zama
 
Taharuki na kichokoo cha yote haya ni pale baada ya kutangazwa mshindi wa kiti cha nafasi ya juu... Na yule wakala aliyekuja nchini akakanyaga ardhi yetu bila viatu
Sasa Mshana Jr, tufumbue macho kidogo kuhusu lengo la ujio wa Wakala yule kwetu. Tena bila Viatu!!!????
 
Endelea kuwapa watu tumaini inawafaa vipofu..i
 
Taharuki na kichokoo cha yote haya ni pale baada ya kutangazwa mshindi wa kiti cha nafasi ya juu... Na yule wakala aliyekuja nchini akakanyaga ardhi yetu bila viatu
MPAKA SASA HUWA NAFIKIRI SIPATI JIBU...LABDA UNIFUMBUE MAANA YA HUYU JAMAA KUTEMBEA BILA VIATU JUU YA ARDHI YA TZ!!
 
Sio kila suala lazima lijadiliwe kisiasa kuna mambo mengine lazima tuyajadili kiimani zaidi kwa sabab unaposema chanzo cha yote ni CCM je hayo mengine yanayoendelea huko Libya chanzo chake ni CCM..??? Yanayoendelea sehem mbalimbali za dunia ni kwamba Shetani anatumia viongozi wetu ili kuzimu kupate kushiba lkn kama alivyosema Mshana Jr ni kuwa kuzimu hakujawahi kutosheka.
 
Taifa zima linalia
 
Tatizl kubwa ni kwa binadam kutoitambua kesho yake ikoje! Wanaopotea walau wanajua waliko sasa hivi! Giza kuu ni kwa wale wanaowapoteza na kuwanyamazisha wenzao, hofu yangu ni moja tu, wanaijua na kuitambua kesho yao itakuwaje? Au wamepigwa upofu ili maandiko ya manabii na mitume yatimie!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…