Ufunuo: Hatari kubwa CHADEMA


unahangaika bure,nenda kawachangie magamba wenzio na mambo ya cdm achana nayo hayakuhusu wewe gamba
 
Chadema ni chama cha demokrasia,yanayoendelea ni michakato ya Kawaida katika demokrasia.Chamsingi malengo mahususi yanafikiwa ifikapo2015.
Wasaliti ni wakuangaliwa kwa tahadhari kubwa kutumia intelijensia na wadhibitiwe mapema wasije tuondoa kwenye reli tukashindwa kufikia malengo 2015.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Viongozi wa CHADEMA muwe mnawapa na chakula hawa vijana sio mnawapa viroba tu!

kweli njaa mbaya.yaani unawaza msosi tu? ndo maana huwa mnapewa wali ili myapigie kura magamba.inaonekana bei yako wewe ni wali tu.
 
Wewe ni Nabii au Mtume? au ni Nabii na Mtume kama Mwingira?

Mungu huwa anasema na yyt kwa habari ya yyt/taifa/nchi sio lzm uwe mchungaji,mtumishi, nabii, mtumw nk.

Anaweza akakupa ht ww ujumbe kuhusu nchi yako ht raisi wako
So hilo sio tatizo km inakuwa ni kweli Mungu anahusika.hapo ndo pana tatizo mkuu
 
Tatizo kubwa la nabii huyu amekwenda kinyume na unabii ambao ulisha wahi kutolewa kuwa KIKWETE ni chaguo la mungu.Angezidi kuukazia huu unabii au angebadilisha kidogo tu pale kwa Kikwete akaweka Magamba huyu nabii angeweza kushangiliwa kwa vifijo na ndelemo hata kama katoa unabii wa uwongo.
 
tunakushukuru kwa maono yako , ubarikiwe sana mtumishi .
 
bora kuchangisha, kuliko kuhongwa suti na kuuza tembo na twiga.chama chetu cha majambazi chauza nchi.knana ha,lwasa ha,mwgulu ha.chauza nchi.imba
 
chama kinaongozwa na mambumbu wa kila kitu.
 
Tafadhali fafanua hilo wingu ambalo walitakiwa walifuate ili km wamakosea watubu na warejee tena na kusonga mbele. Mungu
kakufunulia guo ufunuo, ingia magotini usimame palipobomoka km kweli ww ni mtanzania mwenye nia njema simama kwenye zamu yako.
 

kumbuka aliyeleta uzi anasema yeye sio mwanasiasa. hapo povu la nini kwa CDM? Kwa nini usijadili hoja?

mtela mada katumia common shenzi kutoa ujinga huu nawe unashadidia. naamini CHADEMA, kama vyama vingine kina wanachama na wafuasi wakristo lakini hakiwezi kuongoza mambo yake kidini.
huyu ni mdini kama wadini wengine!
mpuuze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…