Ufunguzi wa barabara ya Dodoma - Babati

Nani anafungua? CDF na IGP watakuwepo?
 
Watakaoenda huko tujuane mapema, nina gari binafsi kama kuna mtu ataenda aje twende kuchakaza huo mkeka.
 
Anafungua Baba Jesca? Amenikumbusha enzi za Mh. Ghalib Bilali (Mzee wa kuzindua tu)
Waziri husika ana kazi gani?
 
Km 250 kama hakuna tochi unafanyakazi Dodoma unalala Babati
 
Hii barabara nilipita mwaka jana nikitoka dom kwenda arusha...ipo vzr sn ikishafunguliwa rasmi tochi zitakuwa kibao hatuwezi kutembea kwa mwendo ule tena
 
Raisi atakuja kufungua pia barabara ya Iringa Dodoma ambayo kwa sasa inazibwa viraka pale nduli jirani na airport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…