Infiltrator
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 205
- 333
Mambo vipi wadau.
Wadau vipi kuhusu hii fani ya ufundi wa water pump je kwa mazingira ya sasa inahitajiwa?
Vijana wote mliomaliza vyuo na hamjapata ajira nawakumbusha kuwa kuna university inaitwa VETA mkuje huku