Ufundi Wa Solar au Backup za Umeme 0784232526

Ufundi Wa Solar au Backup za Umeme 0784232526

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
205
Reaction score
26
SNL SOLAR tunatoa Huduma kwa mtu anayehitaji matengenezo au marekebisho ya Solar.

Pia SNL SOLAR Tunafunga SOLAR ndogo na KUBWA kwa Gharama Nafuu zaidi.

Tunafunga Backup za Umeme Pamoja na kuuza vifaa Vyote vya Solar.

Tupo Sinza kwa Remy.
WASILIANA 0714232526/0784232526
 

Attachments

  • IMG_20171007_065148_186.jpg
    IMG_20171007_065148_186.jpg
    120.2 KB · Views: 41
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Back
Top Bottom