Ufundi pikipiki na spare part

Ufundi pikipiki na spare part

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
832
Mimi ni fundi pikipiki ninaomba kama kunam2 ambae anaweza kujoin na mimi mahali,yeye afungue duka la kuuza sparepart na mimi nitengeneze... Kijiwe kipo mahali nisha chunguza na kupata.,nitafurahi akijitokeza.
 
Uko wap wewe?
 
Nakuombea...!!! Ila vumilia kwa wataokujibu dry ..!
 
Mimi ni fundi pikipiki ninaomba kama kunam2 ambae anaweza kujoin na mimi mahali,yeye afungue duka la kuuza sparepart na mimi nitengeneze... Kijiwe kipo mahali nisha chunguza na kupata.,nitafurahi akijitokeza.

Kama unakaa Kimara mwisho, Eneo la kijiwe ni maeneo gani?.
 
Kijiweni kwa mama stela bonyokwa. Millenium shule
 
Back
Top Bottom