teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Nimekuwa nikitumia Gb watsapp kwa muda sasa lkn juzi nimekutana na hii kitu, kiasi kwamba kwa sasa siwezi kiaccess whasapp hii, nimejaribu ku unstall na kuinstall lkn hakuna badiliko, nifanyeje?
Mimi bado naendelea nao japo siitumii mara kwa maraNakutana na maelezo hayaView attachment 1130385
Ukisha unstall official watsap ukainstall Gb ikakubali kufanya kazi nikiirudisha official watsap bado nitachezea ban??kwanza uninstall iyo iliyopo pamoja na whatsapp official kama unayo kwenye simu.. then download and install from here http://www.mediafire.com/file/6ynh0m0k88pw7ix/GBWA7.96_By_FouadMOD.apk/file
What's new in v7.00