Ufugaji wa paka

Ngudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka kati ya 200 -250.

Faida kubwa ya kufuga paka ni kuwa huwafugi kweny banda unawaachia wanlala ndn na hawachafui mazingira.

Pamoja na masoko nliyonayo pia kwa wanajamv weny kujua soko jingine la uhakika la paka aniPM ili tuweze kufanya biashara.
oda inaanzia paka kumi na kila paka ishirini nakupa discount kubwa.

na pia natoa elimu ya jinsi ya ufugaji mzur wa paka.
3190706ee81b2f9149354e142ae50bab.jpg
 
ttzo kila kitu unaona uchawi kuna Soko zuri tu la bundi natafuta jins ya kuwafuga maana sasa hv wanahela balaa na hyo pia unaweza kufikiri uchawi hpo sijkwambia about popo unaweza kuwa milionea
Mmmmmh unavuka mipaka sasa Ndugu....bundi tena
 
kaka naomba unipe darasa la hao paka wakali kuliko mbwa,
mkuu km hawajawh kukuona ukiingia hawa utawakoma hasa ukiwa pek yko bila ya yyte wanayemjua but sijkomfirm kwamba km wanawez kupewa special training lkn hv hv walivyo ni walinzi tosha
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hadi Somali cat! sasa hapo si unazalisha magaidi!? Usiweke silaha karibu watawaua wenzao hao!
hii ni miongon mwa aina chache sana ya paka ambao wanaanza kupotea duniani aina hii ya paka ni dili kubwa duniani mm nimebaki na only 10 somali cats
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Similar Discussions

Back
Top Bottom