Ufugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa?

Ufugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa?

Yenyewe lakini yapo Yale ya zamani , ila Kuna ya Sasa hivi yameboreshwa kwa mwonekano yanaonekana sawa ila Yana utofauti kwa sababu yanazaliana kwa Wingi na Yana viini lishe vingi
Mbegu yake inapatikana wapi
 
Ili jambo litaisha , kinachosukuma ni mahitaji ya bidhaa sio utashi tazama mayai ya kienyeji na kisasa sasa hivi yai la kisasa ni shilingi mia 250 hadi 400 hapa Tanzania
 
Ukifuga kibiashara inalipa:mbegu nzuri inayokua kwa haraka na wenye uzito mkubwa,wawe wengi,matunzo mazuri na uwe na malisho.
 
Back
Top Bottom