Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

Nataka kufuga bata mzinga ila naomba mnifahamishe changamoto zao pia naomba kujua upatkanaji Wa masoko ya kuwauza pia ni wap nitapata vifaranga vya bata mzinga?

Naomba msaada wenu wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
karibu mkuu kwenye fursa ya ufugaji wa bata mzinga. bata mzinga wanafugika kirahisi kuliko kuku kwa maana kwamba hawana changamoto nyingi kama kuku, ninawafuga bata mzinga pia nafuga kuku nimeona nakuthibitisha mwenyewe kauli hii niliyotoa. uzuri wao wana uwezo mkubwa wakustahimili magonjwa labda tuseme baadhi tu ya magonjwa ya kuku kama ndui ndio inaweza kuwasumbua ila si kwamba yaweza kuwaua kirahisi. ukiwa makini kuwapa chanjo na kua makini kufanya usafi bandani kwao. nikiwa na maana ya mazingira ya banda na vyombo vyakuwalishia chakula na maji, hutaona batamzinga akifa ovyo. jambo jingine ni umakini wa mazingira unapowafugia kwani hua wanapenda kudonoadonoa vitu mbalimbali na kumeza wakati mwingine vitu vikubwa ambavyo vyaweza kuwashinda kumeza jambo linaloweza kuwasababishia kifo endapo kitawakaba na kukosa mtu wakuwasaidia kutoa vilivyowakaba kooni. kuepuka changamoto hii ni kuhakikisha unawafugia bandani kwani humo bandandi utakua na uhakika na wanachokula hivyo kuepuka hasara inayoweza kutokana na changamoto hiyo. kwa anaehitaji vifaranga waweza kunitafuta kwa namba 0714756625 :::: 0623460298: napatikana dar es salaam
 
Vipi dawa ya minyoo huwapi?
 
Vipi kuhusu upatikanaji wa masoko kuhusu hii biashara ya bata mzinga ikoje?
 
Mkuu samahani hebu share nasi experience yako katika uleaji wa vifaranga vya kanga wengine tunakutana na changamoto vinakufa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa vipi ufugaji bado unaendelea naoo/ maana naona ulitaka kufuga vitu vingi hebu ukuje utupe mrejesho
 
Njoo inbox nikupe maujanja then nikuizie kanga ninao wamadoa
 
Mayai ya kwale au Kanga kwanini Yana thamani kiasi hiki au Yana matumizi gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…