Asante mkuu kwa swali zuri
Kwanza kbs mbegu za samaki zipo aina mbili (1) wanaozaliana (2) wasiozaliana yani jinsia moja ,,
Sasa kikawaida samaki hufugwa kulingana na ukubwa wa bwawa yani samaki 1000 kwa 100 mita za eneo Sasa ukiweka wanaozaliana idadi itazidi kwahio watadumaa hao wasiozaliana ni kibiashara zaidi ,,,
Karibu kwa swali jengine Kama unalo