Mwana
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 5,435
- 1,967
Wizara ya miundombinu ilikuwa inaongozwa na Waziri toka CUF!
Unaona eeh wengi hawajui mawaziri Upinzani walipewa Wizara nyeti washughulikie matokeo yake ndio hayoooo!
Wizara ya miundombinu ilikuwa inaongozwa na Waziri toka CUF!
Magufulification ni process inayoweza kutumiwa popote ulimwenguni kwani Magufulifiation ni processs si mtu. Wenye kujua kunyambua maana ya muagufulification watiririke.
Kumbe unahitaji msaada kutoka kwa wanaojua?
Kila mtu anajua Magufuli go achana na walaji wachche ambao kwa saa wana uchungu utadhani waliyoyaanya ni halali!!!!
Wizara ya miundombinu ilikuwa inaongozwa na Waziri toka CUF!
Balozi Seif Ali Idi ndie muhusika wa hiyo meli,aje atuambie ni mpya au kongwe,ufisadi kama huu unanikumbusha enzi za rada.
Najaribu kufuatilia kujua imeundwa mwaka gani, lakini mpaka sasa research zangu sijapata hio kitu
Fedha inatolewa na wizara ya fedha lakini mnunuzi ni wizara ya miundombinuhiyo meli imenunuliwa na wizara fedha