MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
Bwana Majaliwa hebu fanya kama umepotea njia afu ingia hapa wizarani uone madudu yanayoendelea.Kitengo cha labour kinachotoa vibali vya kazi ni jipu tena sio dogo. Ingia hapo ujionee kwanza ofisi haifanani na huduma inayotolewa hapo ukifika kulog documents unaweza hisia hapo sio wizarani ni kama Keko au Segerea.
Haiwekezani kabisa wateja wanaofika hapo wakiwa tayari mikononi wana malipo tena sio ya tshs ni madola mtu mmoja tu anafanya malipo yasiyopungua dola 1000/= kwa kichwa kimoja na huenda akawa na vichwa vitatu mpaka vinane je ni kiasi gani kwa mtu huyu mmoja pekee anaingiza dola 8000/= alafu huduma anayopata haifanani kabsaaa na maingizo yake.
Ofisi haina utaratibu mzuri wa kumhudumia mteja.Pia watoa huduma ni kama wamezidiwa na hawajui wanafanya nini.Sehemu au ofisi inayoshughulikia huduma hii haifanani na uhusika wake ni kaofisi kadogo alafu hakuna hewa kabisa hapo ofisini.
Lingine kwanini ofisi inatanguliza wateja wafanye malipo ilihali hawajafanyiwa assesment ili ofisi iridhike kuwa huyu mteja sasa anastahili kulipia na kupata huduma bila kuingizana hasara.
Badala yake unaweza kulipa madola yako mengi tu alafu baada ya kuzungushwa sana zaidi ya miezi miwili unaweza kuambiwa hujatimiza vigezo vinavyotakiwa.Je hizi dola zangu nilizolipia ntazirudishaje? Au ndio zimekwenda kwenye lile fuko la wajanja.?
Hapa hela yangu inakuwa imeliwa natakiwa niaze upya kwa malipo mapya je hili sio jipu mweshimiwa majaliwa?Fanya haraka ufike hapa ofini uanze na mkurugenzi alafu na wapambe wake maana hapa tumeona harufu ya mijipu inasubiri kupasuliwa tu.