saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,522
- 7,030
Gazeti la raia mwema ya leo laandika ufisadi wa mabilioni ya shilingi wafanyika chuo cha ufundi arusha( Arusha Technical College), ni wa kuhusu ujenzi wa jengo la madarasa na ofisi za wahadhiri. Jengo hilo lilitakiwa lijengwe kwa Tshs 2,681,8650,463 na ujenzi kutakiwa kukamilika July-August 2012.
Ujenzi huo ulicheleweshwa makusudi na kufikia 2014 Tshs 1,200,000,000 ziliongezeka. Zaidi ya hiyo Tshs 86,627,500 ziliongezeka kwa ajili ya milango, kibanda cha walinzi Tshs 42,223,173, tenki la maji(ambalo tayari lilikuwepo) Tshs 48,936,000, nondo za ujenzi(ambazo hazikununuliwa) Tshs 86,600,000 na matofali 20,000 kwa kwa mkuu wa chuo na wasaidizi wake wawili kila moja.
Jumla ya fedha zote za serikali zilizoibwa Tshs 1,464,386,673 ukijumlisha na matofali 60,000(bei haijakokotolewa). This is just one deal successfully played