Ufisadi wafukuta Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

Ufisadi wafukuta Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
5,683
Reaction score
7,796
Gazeti la Raia Mwema ya leo laandika ufisadi wa mabilioni ya shilingi wafanyika chuo cha ufundi arusha( Arusha Technical College), ni wa kuhusu ujenzi wa jengo la madarasa na ofisi za wahadhiri.

Jengo hilo lilitakiwa lijengwe kwa Tshs 2,681,8650,463 na ujenzi kutakiwa kukamilika July-August 2012.

Ujenzi huo ulicheleweshwa makusudi na kufikia 2014 Tshs 1,200,000,000 ziliongezeka.

Zaidi ya hiyo Tshs 86,627,500 ziliongezeka kwa ajili ya milango, kibanda cha walinzi Tshs 42,223,173, tenki la maji(ambalo tayari lilikuwepo) Tshs 48,936,000, nondo za ujenzi(ambazo hazikununuliwa) Tshs 86,600,000 na matofali 20,000 kwa kwa mkuu wa chuo na wasaidizi wake wawili kila moja.

Jumla ya fedha zote za serikali zilizoibwa Tshs 1,464,386,673 ukijumlisha na matofali 60,000 (bei haijakokotolewa).

This is just one deal succesfully played
 
Dr.Masooud,Dr.Masika na Eng.Mhina watayajibu haya soon..
 
Dr.Masooud,Dr.Masika na Eng.Mhina watayajibu haya soon..
kwanini usianze na mkuu wa chuo Dr. Richard J Masika?
Au kama ni ubin mbona hukuanza na Dr. Senzia ambalo ni la ukoo badala ya Dr. Masood ambalo ni first name?
Au kwa nini hukuandika Dr. Richard?
Au kwa nini hukuanza/hukuandika Eng. Stephen? (badala ya Dr. mhina?)
 
Utaelewa muda sio mrefu kwa nini imekua hivyo..soma signature.
 
Hii nchi imeoza sana, yani watu wanakaa ofisini na kuwaza kupiga madili badala ya kuangalia namna gani wakuze elimu kwenye hicho chuo chao.
 
Utaelewa muda sio mrefu kwa nini imekua hivyo..soma signature.
naelewa sana unachotaka kufikisha kwa jamii. nimekuweka (uchi) tu jinsi ulivyo.
sidhani hata huo mgogoro wenyewe kama unauelewa zaidi ya majungu tu.
 
naelewa sana unachotaka kufikisha kwa jamii. nimekuweka (uchi) tu jinsi ulivyo.
sidhani hata huo mgogoro wenyewe kama unauelewa zaidi ya majungu tu.
mhh!!! ndugu yangu Msongole imekuaje tena
 
Historia haikosi kujirudia. Ukishakula nyama ya mtu utaendelea kula tu. This is the same guy aliye kuwa akifanya njama na wanafunzi DIT ili wanafunzi wagome and therefore Principal wa chuo awe matatani, halafu yeye ateuliwe kuwa mkuu wa chuo DIT apitishe madudu yake. I remember walishikana mashati ofsini mbele ya watu. Rushwa kwake mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom