Mkaguzi wa ndani wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida ameibua wizi wa fedha za Umma kama ifuatavyo. Tsh.170 milioni zina vielelezo vya mashaka, Tsh.130 milioni hazina vielelezo,na milioni 30 za mitihani zimeliwa na watu watatu wa Elimu msingi na sekondari kwa kufanya manunuzi hewa.
Hao maofisa Elimu Watatu majina yao niliyasikia wakiwa wanajadiliwa na watumishi wengine wa kada ya chini ambao hawafaidiki na ufisadi huo,bali wamekuwa wakiishia kuwaona mabosi wao wakibadili vyombo vya usafiri.Maeneo yanayotajwa ni mengi,niliyo yasikia ni hayo.
Source: ni mimi mwenyewe nimewasikia Baadhi ya wahudumu wa ofisi hiyo ya DED wakinong`ona nje ya ofisi wakisikitikia mabosi wao kwa waliyo ya fanya hadi kutishia utumishi wao pindi ikithibitika kufanya ufisadi huo.
Hata hivyo moja wa wahudumu hao alilalamika kuwa mabosi hao wote ni mabahili pindi wakipiga madili ya aina hiyo.Safari hii imetibuka.