Ufisadi wa Kufa mtu TANAPA: Hebu angalia Mkakati ulivyokaa!!

kama hili lina ukweli kazi ipo.Nimekuwa nikitumia CRDB TANAPA card kwa muda sasa,mara nyingi network imekuwa tatizo.
Kweli nchi hii inaliwa na wenye meno na si wenye maneno.

red n bolded: nimecheka kweli hii maneno imebeba maana na ujumbe mzito mkuu!
 
jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza nani kakwambia benki inapitisha pesa tu achukue mwingine hiki ni chombo cha pesa kinachoaminiwa na wananchi na si kufanyia ufisadi mimi ni mtumishi wa benki kwa miaka mingi sana sisi tunatafuta pesa kwa wingi na ndomana tunalipwa mishahara minono ukiambiwa lete ushahidi hapa jamvini kwa ulichoropoka unao au unahisi tuu
ulaji unafanyika epa na si benki binafsi nenda kakague pesa zinazopita bot na kutoka ndo utajua ufisadi usichafue benki zetu tafadhali
Mapungufu ya mtoa mada ni kutokuweka source tu, ila haka kamchezo ka benki zetu nchini kufanya michezo ya kihuni sio jambo geni, serikali inatumia bank hizo kutuibia (ref EPA na CRDB pmj na bank nyingine). Benno Ndulu juzi juzi tu hapa alitueleza uhuni na wizi unaofanywa na hayo mabank yenu regarding exchange rates. Hatuwakatazi kusaka hela kwa nguvu, sakeni sana ila msituibie tafadhali. Hatukatai bank kuchukua commision kwa malipo mbalimbali, ila hiyo commision inapokuwa extreme ndipo doubts zinapojitokeza. Hivi kama watalii wangekuwa wanalipia Counter (i.e wanadepositi kama raia wengine kwenye account ya TANAPA) mngekata kiasi hicho??? Au tatizo ni kutumia hizo "visa card"??? nchi za watu zaidi ya 80% ya malipo katika ununuzi wa bidhaa mbalimbali hufanya kwa kutumia visa card na hakuna charge yoyote inayokatwa, tukubaliane tu kuwa kama kunacharges na tena za ukubwa huo katika huduma hiyo ni uhuni na wizi.

Wewe unayejiita afsa wa Bank ukiende kudeposit hela kwenye account ya mtu unalipia asilimia ngap???hebu acha kuongea kama hujaenda darasani na huna exposure, au na wewe ni mshiriki wa wizi huu???Nlitegemea kama mtaalam wa bank utupe sababu za msingi ila naona unaongea kienyeji tu. Pia acha ushamba mambo ya mishahara minono umeulizwa na nani??mshahara wako unamsaidia nani??huo ni ulimbuken wa kushika fedha, Hivi wakiitwa washika mishahara minono hapa nchini wewe utatoka???Ongea mambo ya msingi.
 
Mkuu Ndyoko, utatusaidia sana kama utatufafanulia hasa kwa nini hizo benki zinapata hizo dola tano.
Ninachohisi ni kuwa: Umeanzishwa utaratibu wa watalii kulipa kwa kutumia kadi wanapotaka kuingia kwenye vivutio vya utalii. Nadhani hizo benki mbili zinehusika wka namna fulani katika kutengeneza huo mfumo wa malipo na ndio maana wanapata hizo dola kama commission yao. lakini kama una taarifa nyingine tafadhali tujulishe.

Kimsingi mtalii anapoingia hifadhini hutakiwa kulipa dola 30 kama entrance fee. kati ya hizo 5, zinaenda kwenye benki husika kama fee kwa kutumia benki husika ktk kufanya malipo. Ni ktk hizo dola 5 ndo jamaa walipoamua kuiibia nchi kwani amount kati ya dola 3 hadi nne haiendi benki-kwa maana nyingine benki wanachukua kiasi kisichozidi dola 2 ktk hizo 5 wanazokata kutka kwenye dola 30 kwa kila kichwa cha mtalii. I hope you have understood.

Hii haina tofauti na 10% tuliyoizoea miaka ileeeeeeee ya mzee mkapa kwenye tenda za kazi za serikali.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Yeah, nimeelewa. Kinachonishangaza ni kwa nini Benki hizi zinazoheshimika zikubali kutumiwa katika wizi huo wa kitoto ambao ni rahisi sana kujulikana!
 
jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza nani kakwambia benki inapitisha pesa tu achukue mwingine hiki ni chombo cha pesa kinachoaminiwa na wananchi na si kufanyia ufisadi mimi ni mtumishi wa benki kwa miaka mingi sana sisi tunatafuta pesa kwa wingi na ndomana tunalipwa mishahara minono ukiambiwa lete ushahidi hapa jamvini kwa ulichoropoka unao au unahisi tuu
ulaji unafanyika epa na si benki binafsi nenda kakague pesa zinazopita bot na kutoka ndo utajua ufisadi usichafue benki zetu tafadhali

Kwenye red hapo mkuu umeniacha maana za EPA zilipita CRDB baada ya kutoka BOT.
 
kwa uchambuzi wa haraka umeonyesha upeo mdogo sana wa uelewa. \na hapa kuna mawili, 1. inawezekana wewe ni teller tu kama kweli wafanya kazi benki au, 2. kama ni kiongozi then hiyo benki imekula hasara maana huna mchango wa maana huko benki, 3. inawezekana pia huo 'mshahara mkubwa' unaodai unaupata benki basi ni baada ya 'kupromotiwa kimwili'.

Hahahahhhhh hilo nalo neno mkuu
 
Yeah, nimeelewa. Kinachonishangaza ni kwa nini Benki hizi zinazoheshimika zikubali kutumiwa katika wizi huo wa kitoto ambao ni rahisi sana kujulikana!

Wanajua weakness za mdanganyika ni pamoja na kutopenda kujua haki yake ni ipi. Kila anachoambiwa hukifanya bila kufikiria critically na pia kwasababu serikali imezoea ku-intimidate watu basi imesababisha watu na kuwa na culture ya kutopenda kuuliza maswali penye utata. Mafisadi ndiyo wenye akili, mali, maisha mazuri, uhuru wa kuvunja sheria bila kubugudhiwa ni wafalme katika nchi ya watu wengi wasiopenda kuhoji ama atleast kujua ni kipi malipo halali/ujira kwa kazi zake whether formal ama informal katika muundo wa jamii inayoongozwa na serikali.
 
Hapa ni mikataba inasemaje,tusibishane wakati wote hatuna mikataba yao,kama ni ufisadi tuanzie hiyo mikataba je hiyo gharama inakidhi huduma wanazotoa CRDB na EXIM kwa TANAPA na je kunahaja ya TANAPA kulipia hiyo gharama ya huduma wakati watumishi wa hizo benki hawapo katika mageiti hayo(maana yake mgeni ni lazima aende benki na kufanya hiyo transaction.) au ilitakiwa kulipia gharama kama gharama nyingine tu za uendeshaji akaunti.kweli sijawahi kuona wafanyakazi wa hizo benki huko mbugani na ninavyojua unabeba vidola vyako unakwenda benki na kuload kadi yako kwa ajili ya wageni.
 
Yeah, nimeelewa. Kinachonishangaza ni kwa nini Benki hizi zinazoheshimika zikubali kutumiwa katika wizi huo wa kitoto ambao ni rahisi sana kujulikana!

Mkuu hizi bank haziheshimiki kokote! Magumashi matupu. hatuna tu jinsi
 
Absolutely the fact without evidence remain to be gosip but let as keep our mind positive because nchiyetu hain mweyewe it mighty be true because the said banks are currently investing around those national park and other area of such kind. let as wait because there is swahili saying that" lisemwalo lipo kama halipo basi laja"
 
Mkuu hizi bank haziheshimiki kokote! Magumashi matupu. hatuna tu jinsi

hivi wakuu exim bank si imejaa wahindi ile, au mimi nimesahau? inawezekana kweli benki inayoendeshwa na wahindi ktk dunia ya tatu ikawa na heshima kweli ktk nchi kama tanganyika?
 
CRDB - bank hii ilianzishwa na wakulima ikijulikana kama bank ya ushirika na maendeleo vijijini (Co operative and Rural Development Bank).Bank hii ilianzishwa kwa sehemu kubwa kutokana na mitaji ya vyama vya ushirika ambapo ni mali ya wakulima .Ilikuja kuuzwa bila kujali thamani na maslahi ya waanzilishi ,mbaya zaidi hata hiyo fedha kidogo ya mauzo haikuwafikia walengwa kwa mazingaumbwe na sanaa za serikali ya chama cha Magamba.Wengi hawajui historia ya CRDB ndio maana inaonekana kama ni Bank ya kizalendo ila ilishamwagiwa damu ya nyoka na kuendelea kuwatafuna watanzania kimya kimya ili hali ni Bank ilioanzishwa na walalahoi kutaka kujikomboa kiuchumi.Kwa hiyo hakuna haja ya kushangaa inapotekeleza na kufacilitate ufisadi kwani CRDB (T) LTD -Sio ile ilioanzishwa na wakulima ilishachukuliwa na mafisadi ndio maana haina kirefu tena imebaki kama CRDB - Badala ya Co op. Rural Dev. Bank.Mungu ibariki Tanzania
 
Wakuu kama ukipata nafasi tembelea mageti ya TANAPA kama mtalii wa ndani au vyovyote vile, mtajionea ukweli wa hili jambo. Suala la kujiuliza ni hizo dola tano kwa kila mtalii kwenda benki mazima ni pesa nyingi kwa kazi ambayo haiendani na uhalisia.

Sio magetini tu, tembelea hizo benki tajwa hapa uone wale jamaa wanaodili na hiz kadi za Tanap wanavokula dollar na kujenga majumba na migari. Ukirudisha kadi na iko na chenchi wao wanalamba kadi inakuwa tupu
 
imebidi nimkejeli kwa kuboneza kitufe cha like.'
ama kweli keshakiri anapata mshahara mnono kwa sababu ya wizi unaofanywa na benki anakofanyia
mwizi hakubali kuitwa mwizi.
jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza nani kakwambia benki inapitisha pesa tu achukue mwingine hiki ni chombo cha pesa kinachoaminiwa na wananchi na si kufanyia ufisadi mimi ni mtumishi wa benki kwa miaka mingi sana sisi tunatafuta pesa kwa wingi na ndomana tunalipwa mishahara minono ukiambiwa lete ushahidi hapa jamvini kwa ulichoropoka unao au unahisi tuu
ulaji unafanyika epa na si benki binafsi nenda kakague pesa zinazopita bot na kutoka ndo utajua ufisadi usichafue benki zetu tafadhali
 
Mpita Njia,
Viongozi au watu wenye uelewa wa mambo mkijitokeza na kujibu hoja, mada kwa utulivu kama ulivyojibu, tutaanza kuwaelewa, Point yako hapa ni kuwa hiyo 5 Dollar ni commision ya bank, labda tatizo lije hapo kwenye hiyo dollar 5, magambaz wanagawana 10% na bank ????
My Take: Viongozi mkijitokeza kujibu hoja, mada mtakuwa mnatuelimisha na hata sisi wengine wasomaji na washangiaji hoja, mada

Mkuu Ndyoko, utatusaidia sana kama utatufafanulia hasa kwa nini hizo benki zinapata hizo dola tano.
Ninachohisi ni kuwa: Umeanzishwa utaratibu wa watalii kulipa kwa kutumia kadi wanapotaka kuingia kwenye vivutio vya utalii. Nadhani hizo benki mbili zinehusika wka namna fulani katika kutengeneza huo mfumo wa malipo na ndio maana wanapata hizo dola kama commission yao. lakini kama una taarifa nyingine tafadhali tujulishe.
 
yaani juzi tunasikia crdb wanajipongeza mpaka kanisani kwa kazi nzuri kumbe ni majizi tu????kila kukicha ufisadi tu
 
Back
Top Bottom