Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

Status
Not open for further replies.
Hapana, Albert Marwa amehamishia makazi yake Dubai, alizaa na yule binti wa JK aitwae Salma, yeye na Eiz ni marafiki wa karibu sana, amekua akitumika kufanya ishu nyingi na kuchukua tenda nyingi za TANESCO kwa mgongo wa bamkwe
Huyu Albert ingekuwa kule Sudan angesababisha huyu Salma kunyongwa kwa kuzaa na kafir.

Tumshukuru Mwalimu kwa kutuachia NCHI isiyo na DINI wala sharia.

cc, Ritz, FaizaFoxy

 
Last edited by a moderator:
Kuna mambo ya ajabu sana , halafu wapo wanaoratibu mkakati wa kuusifia utawala huu...
Kama wanafaidika na huo utawala na hawajari maslahi ya walio wengi kama ww kwanini wasiusifie
 
Kassim Mtawa ni fisadi la siku nyingi. Ndiye aliyeoongoza kutafuna Billion 1.7 za NORAD
 


Kassim Mtawa, waislamu hawafanyi madhambi kama haya. Unaenda ahera, hejanam kabisaaaaa
 

Mtawa..Ndio mmiliki wa lile Ghrofa jirani na ofisi Za idara Oysterbay..lijulikanalo Kama DAR ES SALAAM FREE MARKET....Likipakana pia na ubalozi wa Kenya ......Kupata double plot Oysterbay si mchezo na Moja kuweka Parking
 
Nchi hii kuna watu wako hata juu ya mawingu. Mungu yupo na anayaona yoote haya!!!
 


Kassim Mtawa, waislamu hawafanyi madhambi kama haya. Unaenda ahera, hejanam kabisaaaaa
Ufisadi hauna DINI, KABILA wala RANGI. Ni suala la "fursa" tu halafu unafanya money laundering.
 
mkuu mbona haina haja kufadhiliwa kama kweli umedhamiria kuitetea hii nchi we beba tu chupa ya petrol na kiberiti panda gari la gmboto shuka kituo kinaitwa aiport. ksubirie hapo hua hamaliz siku bila kwenda hapo. uumpe ujumbe wako. kazi njema
 
Mi nafikiri waendelee kuiba tu, hii nchi haina mwenyewe!

Sio haina mwenyewe mazoba tupo wengi sana waendelee kuiba waibe mpaka wake zenu waume zetu waibe tu sisi tutabakia hewaaa kila kitu hewala.
 
Halafu wakaleta DENGUE feki kutupumbaza akili.......

Daftari la wapiga kura ndugu liboreshwe yaani watu tuna usongo na ccm ikitoka madarakani wallahi najipa likizo ya wiki nzima kusherekea na jamaa zangu yaani tumewachoka ajabu.
 

Duuu!! Kikwete ni noma, anataka hizi pesa apeleke wapi baada ya kumaliza urais wake?
 
Mtawa..Ndio mmiliki wa lile Ghrofa jirani na ofisi Za idara Oysterbay..lijulikanalo Kama DAR ES SALAAM FREE MARKET....Likipakana pia na ubalozi wa Kenya ......Kupata double plot Oysterbay si mchezo na Moja kuweka Parking
Sera nzuri za Rais Mstaafu Mkapa kuuza nyumba za serikali kwa Watumishi wake. Nchi hii ina vichwa acha tu.

Eneo lile lingeweza kujengwa maghorofa ya kuishi watumishi wa serikali lakini UBINAFSI ulivyotujaa WATANZANIA.
 
wizi huu unaonyesha jinsi matapeli wa ccm wanavyoiaga dola
 
Dah, inasikitisha sana kwa kweli.......ila mwisho wao hauko mbali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…