Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

Status
Not open for further replies.
Hapana, Albert Marwa amehamishia makazi yake Dubai, alizaa na yule binti wa JK aitwae Salma, yeye na Eiz ni marafiki wa karibu sana, amekua akitumika kufanya ishu nyingi na kuchukua tenda nyingi za TANESCO kwa mgongo wa bamkwe

Du kwani hawaishi wote? Nilisikia kuwa walikuwa wanaishi wote ila ndia sijawahi kusikia kama tulivyosikia na kushuhudia japo picha za Ritz na Miraji!!! Kweli kila rasilimali itasalimu amri!!!! Chaguo la Mungu sasa limetufikisha pabaya!!! Nikikumbuka ushindi wa tsunami 2005!!! Mhhhhh watanzania tumeliwa.
 
Mtawa ni binamu yake Kikwete. Alimkimbia mkewe hospitali afrika ya kusini 2007 baada ya mkewe kugundulika ameathirika. Mkewe alifariki baadae huko huko afrika ya kusini huku mtawa akiwa amemtelekeza na kurudi dar-es-salaam. Tangia wakati huo amekuwa akitumia vibaya ukaribu wake na kikwete huku akiishi maisha ya ponda mali kifo chaja.

Mimi ni mtu wa karibu na familia ya mkewe.
 

huyu mtawa na mfahamu vyema mpaka watoto wake wote alikua jiran yangu pale sinza jiran na lion hotel,ni ndugu wa jk na pia alikua mtumish wa ikulu tangu jk akiwa wazir wa mambo ya nje,kwa sasa nasikia kajenga hekalu huko mbez beach ndipo anapoish na familia yake,ama kweli nchi inaliwa na wachache.
 
kila uliye na ukaribu naye unamwacha achukue mali tulizokupa dhamana walizo chukua zinaonekana ni nyingi maana bado ulizowapa atuji we siku tukiitaka azina yetu sijui itakuaje maana wamekuzidi adi mwenye mamlaka najua itakuwa tupu
 

mkuu bila shaka unamzunguzia mama Ali au mama Salama au mama Rehema,huyu rehema alikua demu wangu wakat wanaish maeneo ya sinza hata msiba wake nilihudhuria,Mtawa ameanza kuwa tajir baada ya jk kua rais,
 
Kikwete na familia yake ni janga la kitaifa ila wa kujilaum ni sisi kwani mwalim alisha mkataa sisi tukampuuza baada ya kifo chake. Asieskia la mkuu....
 
Huu uzi unaeza usiwe na uhai sana

Mkuu Sizinga kama kweli mods wana uchungu na nchi hii huu uzi usiondolewe kwa sababu nimegundua watu wana facts na kweli zile hela zimepigwa na nyumba kubwa!!! Ninatamani sana siku upinzani utaichukua hii nchi na kufilisi mali za hawa viroboto.
 

unavyofahamu wewe pesa hizo za escrow ni za nani?
 
Kikwete na familia yake ni janga la kitaifa ila wa kujilaum ni sisi kwani mwalim alisha mkataa sisi tukampuuza baada ya kifo chake. Asieskia la mkuu....

Baba wa Taifa alikuwa na maono na taiffa hili. angepata ruhusa afufuke angemwomba mungu afe na asiruhusu afufuke tena milele.
 
Ridhiwani haponi kwenye hili sakata. Yeye ndio Steringi !
 
Hiyo ndo kawaida ya wtz kuwa kama bendera,Hata Lowasa nae si mmeshaanza kumpa misifa kibaoo utadhan ni mtu saaafii kumbe!Halafu baadae malalamiko kibao!Mimi huwa najiuliza hivi huyu Lowasa anania gani mpaka atumie mipesa kuwapa watu(Boodaboda) na taasisi za kidi?Mbona alipokuwa waziri sikuwahi kuona au kusikia mambo hiz?Je akiingia ikulu atashindwaje kuzirudisha pesa zake kwanza?Pia atashindwaje kutafuta faida kama anavyofanya mkuu na familia yake? MWISHO HUWA NASEMA SINTOMUAMINI TENA MWANASIASA YEYOTE YULE.
 

Mkuu mbona unawachokoza?
 
NIDAIWE NINI TENA?Mimi nadaiwa Tshs 479,000 ambayo ni mgao wa deni zima la taifa kwa Watanzania wote 45,000,000.

Mkuu usinikumbushe machungu. Katika madeni yote niliyo nayo hili linaniumiza sana. Iweje watumbue wengine mie ndio nilipe? Ni sawa uamke asubuhi unaona unaletewa na mhudumu wa Grocery ya jirani bili ya vinywaji anakuambia Katibu kata wa CCM kanywa kasema bill uletewe wewe wakati hata mahusiano naye huna.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…