UFISADI WA $121m WAMUONDOA WAZIRI CHINA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UFISADI WA $121m WAMUONDOA WAZIRI CHINA

Discussion in 'International Forum' started by fangfangjt, Mar 1, 2011.

 1. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  source: BBC News - Sacked Chinese railways minister in corruption inquiry
  Waziri wa Reli wa China amefukuzwa kazi wakati anafanyiwa uchunguzi wa kupokea rushwa ya zaidi ya $121m, kwa ajili ya kutoa mikataba ya treni ziendazo kwa kasi.
  Serikali ya ki-communist ya China isiyopenda kuonyesha udhaifu wa viongozi wake, ililazimika kuchukua hatua hiyo ngumu ili kutopoeza imani ya wananchi dhidi ya serikali yao, kwani hasira kubwa sana za raia wa china ni dhidi ya ufisadi.
   
 2. k

  ktman Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa Bongo tungekea kama China , Hii safu yote ingekuwa Segerea
   
 3. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  hapa wanataka kuhalalisha wizi wa bil 94.
   
 4. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  hiyo ndiyo serikali , wachina hawana mchezo hata siku moja
  wanasema hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya, kama ukikosea basi sheria inachukua mkondo wake mara moja
  Natamani kama tungekuwa na uwezo wa kukopa hao viongozi waje kwetu walau hata kwa miaka 5 tu ,tungakuwa na mabadiriko makubwa sana
   
 5. Zed

  Zed JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapa kwetu Bongo kwa dau kubwa la $ 121M, Waziri huyo angeinunua ikulu, kamati kuu ya CCM akiwamo Mkuchika na Tambew Hiza, wabunge wote wa CCM pamoja na spika wao, mahakama, Hosea na Takukuru na familia yote ya katibu mkuu wa CCM wamtetee na kumsafisha ili achaguliwe rais wa awamu ya 5. Ni nchi kama Tanzania tu ufisadi unalipa sana... The land of impunity!
   
 6. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...na kama sikosei akipatikana na hatia adhabu yake huwa ni kifo....wale jamaa!
   
Loading...