Nipo hapa Butiama, uongozi wote wa Kijiji chini ya Mwenyekiti Zacharia Wambura (Debe Tupu), umefukuzwa. Waliofanya kazi hiyo ni wananchi wenyewe baada ya ufisadfi kuvuka kiwango.