Ufisadi: Viongozi wote Serikali ya Kijiji cha Butiama wafukuzwa

Mwitongo

JF-Expert Member
Jan 30, 2009
312
360
Nipo hapa Butiama, uongozi wote wa Kijiji chini ya Mwenyekiti Zacharia Wambura (Debe Tupu), umefukuzwa. Waliofanya kazi hiyo ni wananchi wenyewe baada ya ufisadfi kuvuka kiwango.

Source: Mimi mwenyewe
 
Nipo hapa Butiama, uongozi wote wa Kijiji chini ya Mwenyekiti Zacharia Wambura (Debe Tupu), umefukuzwa. Waliofanya kazi hiyo ni wananchi wenyewe baada ya ufisadfi kuvuka kiwango.

Source: Mimi mwenyewe
Hongereni sana kwa uamuzi huo wahuni wachache wasitake kurithi tabia za viongozi waandamizi wa ccm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom