Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,891
- 1,212
Salam wakuu wa jukwaaa...
Ningependa kutoa taarifa zitakazopelekea kutumbuliwa kwa watumishi wasio waaminifu wa NSSF waliopo darajani pale kwa kujiingizia kipato kinyume na misingi yao ya kazi,kinachofanyika ukipita pale na gari unamuomba upite kwa 1000 au 500 na ukimwambia astoe risiti anafanya hivyo, pesa inaingia mfukoni kwake.
Nimeshuhudia leo nilopokuwa nikielekea kibada, rafiki yangu mkazi wa Kigamboni akaniambia huwa analipa buku kwenda kurudi anatoa jero kila siku kuwa hawa watu nao pia wanatafuta riziki kwakuwa Anko Magu katubania sisi serikalini basi bora tukose wote.
Mamlaka husika tegeni mitego mhesabu gari zinazopita pale kwa siku muangalie na mapato yatakayokabidhiwa. Hata daladala baada ya kutoa tsh 7000 kwa kila safari wao hutoa 5000 hapo pia ni pato la mdau mmoja wa NSSF.
Wahusika fatilieni hili au angalieni kamera zenu mpige hesabu ACHENI UZEMBE pesa zetu zinaliwa na wachache.
Nimemaliza
Mimi mwananchi mwenye roho mbaya.