Wakati Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, January Makamba, alitarajiwa kukutana na wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) jana, viongozi wakuu wake wanatuhumiwa kufanya ufisadi unaoiangamiza kampuni hiyo ya umma.
Kila mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi analipwa Sh. milioni moja kwa siku; hizo zikiwa nje ya marupurupu mengine.
Pia imebainika kuwa mamilioni ya shilingi hupotea kutoka kwenye makusanyo ya kanda, huku Dar es Salaam ikiwa kama kitovu cha ufisa huo.

Hapa kwetu songea, ofisi nyingi TTCL ndio net. provider. Imenichefua hii taarifa kwani toka ijumaa ofisi nyingi zimeshindwa kutoa huduma kwa tatizo dogo lenye hadithi kibao.
Tumeshindwa fanya kazi system zote chali hadi aibu kwa wateja na usumbufu mkubwa achilia mbali upotevu wa mapato kwa serikali. Inauma sana. Kama ni kweli ufisadi huo wafanyika hapo, nadhani ni byema ipitishwe sheria ya dharura kuwafilisi na wanyongwe hadharani.
nilipomuona tu mkurugenzi mkuu wa ttcl kwenye kikao cha wafanyakazi nikapata jibu moja tu,kumbe ndio maana ttcl haiwezi kupiga hatua katika ulimwengu huu wa dijitali pamoja na kuwa ina nyenzo kubwa kuliko kampuni yoyote ya simu,sijui mtendaji mkuu huyo kama anajua hata kufungua tu kompyuta .nilitegemea kampuni kama ttcl iongozwe na dotcom wa ukwee na si wa kuchongwa,teknilojia inabidilika kila kukichwa sasa yule ndugu naona yeye anawaza mingo tu,na sijui kwanini bwana utoah & co hajapitia huko hadi waziri aseme !!
Wasubiri nguvu ya umma itakachowafanya
katika ma ceo wote tanzania naona huyu ndiye ceo wa kwanza kushindwa usaili lakini bado anaongoza ttcl. Yeye mwenyewe kamwambia january afanye haraka kuipatia ttcl uongozi mpya sijui kwanini bado wizara inamng'ang'ania wanataka ttcl ife!!!!!!!
Kwa hiyo kuna mtanzania kwa mwezi anavuta mill 30
Ngoja niwahi panadol... kichwa kimeshaanza kuniuma
Wasubiri nguvu ya umma itakachowafanya
Kwa hiyo kuna mtanzania kwa mwezi anavuta mill 30
Ngoja niwahi panadol... kichwa kimeshaanza kuniuma
Kuna tetesi kuwa waliotuhumiwa wote,CEO anastaafu kuanzia kesho na wengine wamewekwa nje ili uchunguzi ufanyike kama alivyosema makamba.
Makamba oyeeeeeeeee
Mbarawa ziiiiiiiiiiiiiiiii