Hakuna mkanganyiko ila viongozi wa Halmashauri hii wako hovyo hata kwenye upandishaji vyeo wanaroho za korosho kama mkoa wao ulivyo maarufu kwa korosho.Kwahiyo huo ni ufisadi au mkanganyiko wa taarifa? Sometimes unaweza kuchuma dhambi Bure tu, fika ofisini upate ufafanuzi maana serikali nayo inamchacho saizi na upinzani nao Kama ulivyouona.
Kumbe unawafahamu vizuri hao nduguHakuna mkanganyiko ila viongozi wa Halmashauri hii wako hovyo hata kwenye upandishaji vyeo wanaroho za korosho kama mkoa wao ulivyo maarufu kwa korosho.
Kwanza walisema tatizo lipo kwa dt, Sasa huyo waliemsingizia amepitisha malipo kumbe Wana orodha Yao, huo ni ubinafsi na ufisadi mkubwa!
RAIS PEKEE ALIYEWEZA NA KUTHUBUTU KUSHUGHULIKA NA MATAKATAKA HAYO KTKT HISTORIA YA NCHI HII NI JPM.Malipo ya nauli wamewalipa wachache eti ela wameingiziwa kidogo Toka serikali kuu,naomba waziri mwenye dhamana toka TAMISEMI kama umeona hili uje utolee ufafanuzi haya yanafanyika Halmashauri ya Tandahimba mkoa wa Mtwara.
Kama ni kweli toa majibu maaana uku Kuna vurugu za hatari kati ya waliolipwa na wasio lipwa na walistahiri.
Kuna tetesi kuwa ela zote zimeingizwa ila viongozi wamenunulia korosho na bango halijatoka,ila kwa nini ela za watumishi na stahiki zao wabadilushe matumizi?
Tulia halafu uandike vizuri watu wakuelewe ,,hela za nauli ipi?... Tulia ufafanue vizuri hoja yako ielewekeMalipo ya nauli wamewalipa wachache eti ela wameingiziwa kidogo Toka serikali kuu,naomba waziri mwenye dhamana toka TAMISEMI kama umeona hili uje utolee ufafanuzi haya yanafanyika Halmashauri ya Tandahimba mkoa wa Mtwara.
Kama ni kweli toa majibu maaana uku Kuna vurugu za hatari kati ya waliolipwa na wasio lipwa na walistahiri.
Kuna tetesi kuwa ela zote zimeingizwa ila viongozi wamenunulia korosho na bango halijatoka,ila kwa nini ela za watumishi na stahiki zao wabadilushe matumizi?
Ww sema tu unamkumbuka kwa yako maana mpo mliofaidika na utawala uliopitaRAIS PEKEE ALIYEWEZA NA KUTHUBUTU KUSHUGHULIKA NA MATAKATAKA HAYO KTKT HISTORIA YA NCHI HII NI JPM.
KWA SASA HAYUPO, ENDELEENI KUPAMBANA NA HALI ZENU
UKIWEZA ANZA KUWA CHAWA,
UWE MTU WA KUJIPENDEKEZA PENDEKEZA KWA WAKUBWA WAKO
UWE WA KWANZA KUSIFIA SIKIA KILA KITU
UWE MSIRI, UKIONA UWIZI NA UBADHIRIFU KAA KIMYA
NA MEMA YA NCHI UTAYAONA.
Ebu subiri kwanza, bei ya mchele huko kwenu ni bei gani? zama za dikteta ili kuwa 1500-2000.Ww sema tu unamkumbuka kwa yako maana mpo mliofaidika na utawala uliopita