Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
ila kuhusu effective use of the land kama anavyosema bwana mundu..ni kweli..pale kuna kosa..originally yale majengo yalikuwa yawe ni gorofa angalau moja hata watakaokumbuka ile michoro ya kwanza kabisa ilikuwa inaonyesha hivyo na hata engineer aliyefanya EIA (environment impact assesment) namjua kuna siku alisema hivyo...sasa kinachotokea i dont know...
kuhusu zile nyumba za mama Ana Mkapa pale kuna bomu na utapeli mkubwa sana, mama ana alilazimika kuzifanya ziwe za yatika baada ya ishu kufumuka..kwa plan ile hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kuamini kwamba zile nyumba zilikuwa za watoto yatima...yule mama hana roho nzuri kiasi hiko..ukiangalia vizuri hata plan ya finishing aliibadilisha badae..kaangalie madilisha...ilikuwa yawe ya vioo lakini mwisho ikapigwa nyavu ya kawaida tu...labda nae tutaangalia huko baadae itakuwaje na ana mkataba gani na serikali kuhusu ile ardhi but it is a completely a waste...
SIKU ZOTE NCHI ITALIWA NA WAJANJA...
Hivi hawa na NORCONSULT kitu kimoja? if so then mmoja wao alikuwa na kashfa ya rushwa na serikali imepewa ripoti na jamaa wa WORLD BANK lakini madudu yaliomo humo ndani hiyo ripoti haiwezi kuwekwa public...kisa? wakubwa wametajwa
Hivi hawa na NORCONSULT kitu kimoja? if so then mmoja wao alikuwa na kashfa ya rushwa na serikali imepewa ripoti na jamaa wa WORLD BANK lakini madudu yaliomo humo ndani hiyo ripoti haiwezi kuwekwa public...kisa? wakubwa wametajwa
Jamani wadanganyika wenzangu kwa info nilizozipata kutoka kwa wachunguzi wa mambo kuhusu mkataba wa mwarabu wa Mlimani City na Chuo Kikuuu...
Habari zinasema yule mwarabu kapewa kile kiwanja ajenge na afanyie biashara kwa muda wa miaka 50 bila kulipia kodi yoyote........ halafu baada ya muda huo ndo majengo na kila kitu vinakuwa chini ya chuo... Ebu tuangalie hii kitu jinsi ilivyokaa..
Ni nani atakaye faidi katika huu mkataba?
Ole Naiko na nani? Mshana sijui ni nani. Mnawaonea tu. Muulizeni Dr Chungu ambaye alikuwa Director of Planning wa UDSM wakati wakinegotiate mradi huu na huyo mhindi wa Botswana. The littke I know pamoja na kulipwa kodi kwa sasa UDSM ina shares za 25 per cent. Baada ya muda shareholding itakuwa inaongezeka. Sasa sijui kama hiyo ni bad deal. Kwa sababu hiyo 25 per cent ni contribution yake kwa njia ya ardhi yake. Halfau wanalipwa percent fulani ya kodi pamoja na certain percentage kwa kile kinacholipwa na wapangaji wengine. Sasa Mungu akupe nini. Hivi nyie waswahili mnataka 100 peecent bila hata kuingiza kitu? Hvi mkoje nyie? Mimi I think Dr Chunga na wenzie didi a good job. Kudos to them