Ufisadi mwingine wa Watanganyika dhidi ya Zanzibar huu hapa!!

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
3,138
3,042
Daima Watanganyika (ndugu zetu wa damu) wanatufanyia visa furaha yao ZANZIBAR ikwame Wazanzibar wadhalilike ishahidi wa hayo kuna list kubwa ya ubaya wao huo

Watanganyika washatufanyia mengi na hivi juzi kwa vile wanajua. Pamoja na kujitangaza sana bado ZANZIBAR inafanya vyema sana katika sekta ya UTALII kuna watalii wanaoushuka moja kwa moja ZANZIBAR hilo linawauma sanaaaa

Na hivi sasa washapata sababu ya kutaka kuihujumu ZANZIBAR kupitia sekta hiyo kwa kupaza sauti zao kumtaka waziri wao anaehusika na utalii KIKWANGARA sijui kinani eti aingile kati suala la yule mwanamitindo au mwanamichezo au msanii Kutoka South Afrika aliefanyiwa vitendo vya ubaguzi ktk hoteli huko ZANZIBAR

Twaambia hivi ISSUE Za ZANZIBAR zitamalizwa na Wazanzibar wenyewe hivyo vigwangwara washuhulikie issue za Faru John. HOTELS zote Zanzibar zina mikataba na kinachofanyika kinajulikana na ZANZIBAR ina Waziri wake wa utalii

#BRING OUR NATION BACK
#Free ZANZIBAR
 
Tanganyika chini ya utawala wa CCM haina fikra ya kufanya kheri yoyote si Zanzibar wala Tanganyika yenyewe . Wameiisidi Zanzibar a wanaendelea kuifisidi . Zimwi hili mpaka llitiwe kaburini bila ya hivyo litaendelea kutesa watu daima
 
hamna shukrani ninyi, tumewakwamua kutoka mikononi mwa makucha ya utumwa wa sultani bado mnatuletea ng'eng'e ng'eng'e! hata jeshi hamkua nalo. Sasa iko hivi, uhuru huwa hauletewi tu mezani kama chakula cha msibani lazima upambane, nyie si mnaona sisi wenyewe tunavyopambana na CCM huku? pambaneni acheni ulegelege.
 
Utumwa gani muliouondosha Zanzibar?. Kama ni Utumwa ulipigwa Marufuku toke Karne ya 19, wakati huo Tanganyika ilikuwa chini ya himaya ya Zanzibar. Mulichokifanya nyinyi ni kuendeleza ukoloni chini ya mwavuli wa Vatikan . Soma historia kama hukwanda shule
 
Mimi kama Mtanganyika halisi tena kutoka Mkoani Tanga, bado napata ukakasi wa umuhimu wa Zanzibar katika nchi yetu huru ya Tanganyika! Ningependa kuwashauri muanzishe tu movement ya amani ya kujitenga ili muwe huru, na sisi tuishi maisha yetu ya amani.

Kiukweli hayo manung'uniko yenu yanatuchosha! maana wakati kwa upande wenu mnahisi Watanganyika tunawakandamiza kwenye nyanja zote, na sisi tunaona kama vile mnatunyonya tu! mfano mdogo tu; Kwenye bunge letu la Tanganyika tunawaona mkijinafasi kwa raha zenu na posho zetu mnakula, lakini huko kwenu haturuhusiwi!
 
Daima Watanganyika (ndugu zetu wa damu) wanatufanyia visa furaha yao ZANZIBAR ikwame Wazanzibar wadhalilike ishahidi wa hayo kuna list kubwa ya ubaya wao huo

Watanganyika washatufanyia mengi na hivi juzi kwa vile wanajua. Pamoja na kujitangaza sana bado ZANZIBAR inafanya vyema sana katika sekta ya UTALII kuna watalii wanaoushuka moja kwa moja ZANZIBAR hilo linawauma sanaaaa

Mmezidi utegemezi
Umeme mnategemea Bara
Ardhi yenu imekwisha mnategemea Bara
Chakula mnategemea Bara
Hata haya malalamiko unaptishia JF ipo Bara, na kama wewe mjanja andika haya malalamiko kwenye mtandao wa kwenu hukohuko
 
how dare you!! ninyi mlikua vijakazi wa waarabu kabla hatukawaletea mapinduzi matukufu, tukawaletea serikali ya wananchi tena tukawapa na haki ya kuoana na waarabu.
 
Mkuu ukisema mnahisi ni mambo ambayo hayapo pengine ni mawazo tu, wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mambo ya zanzibar?

Karibuni wazanzibar wamezuiwa kupata mkopo kwakua waziri wa fedha wa Tanganyika amekataa kutia saini ili zanzibar wapate mkopo wa kujenga barabara, Bandari na jengo la airpot lililokwama kwa miaka 15 sasa.
 
Hawa Wapemba hamuwawezi
hawaamini kabisa kuwa muarabua aliwafanya Watumwa, bali wanaamini Watumwa ni wale waliopelekwa Arabuni
waliobaki wana haki na Zanzibar
hebu leteni hilo fukuto mchukue visiwa vyenu na sisi tuwafukuze huku Bara
 
how dare you!! ninyi mlikua vijakazi wa waarabu kabla hatukawaletea mapinduzi matukufu, tukawaletea serikali ya wananchi tena tukawapa na haki ya kuoana na waarabu.
Soma Historia, Wazanzibari hawakuwa Wajakazi. Soma historia. Kama ni kuoana waarabu na Waswahili, hilo likifanyika kabla ya hayo munayoyaita mapinduzi. Waarabu Wengi muanaowachukia Waliowa Wamanyema ndio wakazaliwa hao munaowaita waarabu wa zanzibar. Hakuna Mzanzibari aliyeuzwa Utumwa .Watumwa wakitoka Bara , Congo, Mozambique na kwengine.
Zanzibar ilikuwa ni soko tu
 
Daima Watanganyika (ndugu zetu wa damu) wanatufanyia visa furaha yao ZANZIBAR ikwame Wazanzibar wadhalilike ishahidi wa hayo kuna list kubwa ya ubaya wao huo

Watanganyika washatufanyia mengi na hivi juzi kwa vile wanajua. Pamoja na kujitangaza sana bado ZANZIBAR inafanya vyema sana katika sekta ya UTALII kuna watalii wanaoushuka moja kwa moja ZANZIBAR hilo linawauma sanaaaa

Na hivi sasa washapata sababu ya kutaka kuihujumu ZANZIBAR kupitia sekta hiyo kwa kupaza sauti zao kumtaka waziri wao anaehusika na utalii KIKWANGARA sijui kinani eti aingile kati suala la yule mwanamitindo au mwanamichezo au msanii Kutoka South Afrika aliefanyiwa vitendo vya ubaguzi ktk hoteli huko ZANZIBAR

Twaambia hivi ISSUE Za ZANZIBAR zitamalizwa na Wazanzibar wenyewe hivyo vigwangwara washuhulikie issue za Faru John. HOTELS zote Zanzibar zina mikataba na kinachofanyika kinajulikana na ZANZIBAR ina Waziri wake wa utalii

#BRING OUR NATION BACK
#Free ZANZIBAR
Wewe unaonesha wazi siyo Mzanzibari na wala huifahamu Zanzibar. Ni fataani tu mmoja.

Ungekuwa Mzanzibari kwanza kabisa ungepinga kabisa hiyo biashara ya utalii kuwepo Zanzibar, kwani huo utalii ni ufisadi mkubwa uliokuja kwa mpango maalum wa kuibadili Zanzibar kutoka taifa la Waislaam kuwa la wenye kukufuru. Makafiri.

Leo Wazanzibari Waislam wanakufuru hovyo eti wanafanya kazi za kuuza bar mahotelini na kuwahudumia watembea utupu fukweni. Khaaa!

Mzanzibari gani asiyeombea ufisadi huo usiwepo?
 
Soma Historia, Wazanzibari hawakuwa Wajakazi. Soma historia. Kama ni kuoana waarabu na Waswahili, hilo likifanyika kabla ya hayo munayoyaita mapinduzi. Waarabu Wengi muanaowachukia Waliowa Wamanyema ndio wakazaliwa hao munaowaita waarabu wa zanzibar. Hakuna Mzanzibari aliyeuzwa Utumwa .Watumwa wakitoka Bara , Congo, Mozambique na kwengine.
Zanzibar ilikuwa ni soko tu
ACHA UONGO
Kwanini Wamanyema hawakuwaoa Waarabu na watoto wao?
kasome tena Historia ya Zanzibar utatambua kuwa ni lango lililowatoa Watumwa kwenda Oman hadi walipoamua kusogea na kuanzisha Kituo
 
how dare you!! ninyi mlikua vijakazi wa waarabu kabla hatukawaletea mapinduzi matukufu, tukawaletea serikali ya wananchi tena tukawapa na haki ya kuoana na waarabu.
Huyu Ni sultani wa Zanzibar
Zanzibar_Sayyid_Ali_bin_Hamud.jpg

Hapa Ni walinzi wakiwa na prince na princess wa Zanzibar

Children.jpg

Sultani wa Zanzibar Hapo juu akiwa amevaa suti (Ali Humud)
gbp-cpa020412.jpg

Hapa Ni sultani wa Zanzibar akiwa na wakoloni wa kingereza
gbp-cpa020410.jpg

Baadhi ya picha za masultani wengine wa Zanzibar
may-05-1953-sultan-of-zanzibar-arrives-for-coronation-the-sultan-of-E0M3NY.jpg

76d660c53534c518d5fdc32f99f850c1--african-royalty-black-king.jpg

Na mkuu Amani karume amezaliwa 1948 na mama muarabu mapinduzi yalifanyika miaka 16 baadae, ilikuwaje Huyu akawa na mama muarabu na mnataka kutumianisha weusi walikuwa Hawaoi waarabu kabla ya mapinduzi?
 
Mmezidi utegemezi
Umeme mnategemea Bara
Ardhi yenu imekwisha mnategemea Bara
Chakula mnategemea Bara
Hata haya malalamiko unaptishia JF ipo Bara, na kama wewe mjanja andika haya malalamiko kwenye mtandao wa kwenu hukohuko
Katika hivyo tunavyotegemea Bara ni kipi Baba yako katika hela ya kuwanunulia Wazanzibar mkiambia hamna akili munaona sifa eeee???
 
Pigeni vita umasikini na chuki baina yenu. Mmejaa hila na chuki za vizazi na vizazi. Tanganyika kuiachia Zanzibar halitatokea any time soon kwa sababu you are very weak as a people. Mtaishia kurudisha waarabu na kuanza kuchinjana tena. Aidha, mtakuwa base ya al qaeda na ISIS/L au al shabaab. Hatuwezi kukubali uhuni huu. Chakula, umeme, ulinzi, mishahara, stability tunawapa sisi halafu leo mnanyanyua midomo. Anzeni kuondoka bara kwanza mrudi kwenu halafu ndio muombe kujitenga. Mmejaa kila kona ya bara mnatengeneza hela lakini bado mnataka kujitenga. You cant have it both ways. Nasema Zanzibar kujitenga ni kama serikali ya kitaifa chini ya rais Kagame kuwaachia Hutu Power warudi kuongoza Rwanda, Never Again!
 
Back
Top Bottom