Ufisadi Kila kukicha - Total Confusion

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,279
8,494
Ufisadi a.k.a Wizi na Ufujaji wa mali za Umma limekuwa halileti maana iliyokusudiwa kwa Mwananchi wa kawaida hasa kule vijijini. Wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakijaribu kulipigia kelele lakini halieleweki wanaona ufisadi ni kama sifa fulani njema.

Wito: Tuwasaidie wanasiasa na wanaharakati wanaopinga na kupiga vita ufisadi waje na msamiati mwepesi unaoleweka na wengi hasa kule vijijini.

Mfano mzee Mengi angeanza kusema: Mapapa wa WIZI, au Wanaoongoza kwa Wizi wa mali za WaTZ au Wezi mapapa ni Rostam Azizi akifuatiwa kwa karibu na Yusufu Manji, tatu ni Jeetu Patel, nne Somaiya nk.

Wana JF njoni na Mapendekezo ya Jina mbadala kwa ufisadi
 
Sasa hiv ni vizuri kama mtu akisema fisadi basi atuambie ni nani na kafanya nini ili watu tuelewe siasa za fitina na majungu tuache
 
Ufisadi a.k.a Wizi na Ufujaji wa mali za Umma limekuwa halileti maana iliyokusudiwa kwa Mwananchi wa kawaida hasa kule vijijini. Wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakijaribu kulipigia kelele lakini halieleweki wanaona ufisadi ni kama sifa fulani njema.

Wito: Tuwasaidie wanasiasa na wanaharakati wanaopinga na kupiga vita ufisadi waje na msamiati mwepesi unaoleweka na wengi hasa kule vijijini.

Mfano mzee Mengi angeanza kusema: Mapapa wa WIZI, au Wanaoongoza kwa Wizi wa mali za WaTZ au Wezi mapapa ni Rostam Azizi akifuatiwa kwa karibu na Yusufu Manji, tatu ni Jeetu Patel, nne Somaiya nk.

Wana JF njoni na Mapendekezo ya Jina mbadala kwa ufisadi

Its too much.
Hata ukweli, majungu,kijicho na uongo havijulikani sasa.
 
Back
Top Bottom