mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,449
- 993
Hivi Lowasa alijisafisha nini? Mbona kila siku anazidi kujichafua?
Riba ni 200%Mbowe anakopesha chama mikopo hewa alafu anarudi kudai marejesho kwa riba ya 100%
Hivi Lowasa alijisafisha nini? Mbona kila siku anazidi kujichafua?
CCM ndio yenye mafisadi wakuu Tanzania hii.
Ukimuita lowasa fisadi utakua unasukumwa na uccm usio na maslahi kwako wala kwa ndug jamaa marafiki.lowasa kamtaja fisad
kwani wewe hujui kuwa yeye hajaiba ila Kikwete na wale waliofikishwa kwenye kamati ya maadili?