Ufisadi Chama Cha Walimu Tanzania

Cesar

Senior Member
Apr 21, 2016
143
147
Chama cha Walimu Tanzania kilianzishwa mwaka 1993 kwa lengo la kutetea haki za walimu Tanzania,Mwalimu yoyote by default anakua ni mwanachama wa chama cha Walimu Tanzania (CWT).

Kila mwezi walimu wote hukatwa kwenye mishara yao michango kwa ajili ya CWT,michango hii imekua na ufisadi wa hali ya juu Makao makuu ya CWT.Maajabu ni kuwa Mwalimu anaestaafu CWT humpatia TZS 20,000 Na Bati 20 huu ni wizi na unyonyaji wa hari ya Juu sana
 
Back
Top Bottom