Ufisadi: CCM Dar yamvaa Idd Azzan; Wamfungia miezi 18

habari za huyu jamaa nimezisikia kwa mbali leo kupitia vyombo vya habari...naomba mwenye data zaidi anidadavulie yepi yamesibu hadi kufikia hatua hiyo ya kuzuiwa kugombea nafasi yoyote kwa kipendi cha takribani miezi 18...na kwa nini 18 na sio 24 labda

nawakilisha..
 
Azan, kama anaweza yy aseme anachokijua wananchi watacmama na yy, asiwangope mafisad,
 
Huyu Azan siyo yule waliomwabia kama anauza unga? Hilo gamba liliishia wapi mpaka awambie wenzie?
 
kwa jinsi ninavyowafahamu ccm na hulka zao za visasi kuna uwezekano mkubwa kwamba huo ndiyo mwisho wa mh Idd Azan,na sidhani kama atapata fursa ya kuteuliwa tena kugombea ubunge wa kinondoni 2015.
 
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dar es Salaam, kimemfungia Mbunge wake, Idd Azan (Kinondoni), kwa kipindi cha miezi 18 kutowania nafasi yoyote ya uongozi na kuzungumza na vyombo vya habari. Mbunge huyo maarufu jijini Dar es Salaam, amepata kifungo hicho baada ya kile kinachodaiwa kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari kutaka uongozi wa Sekretarieti ya Mkoa wa Dar es Salaam kujivua gamba kwa kujiuzulu kwa madai kuwa unakabiliwa na tuhuma za rushwa na kutaka wajiuzulu.
 
Acha wafu wazike wafu wao
 
Kwa hiyo wamemzuia kuwasiliana na wananchi wake waliomchagua kupitia vyombo vya habari na pia kumzuia kuomba kuchaguliwa kwenye uchaguzi wa chama 2012, kwa kosa la kukitaka chama mkoani dar pia kijivue magamba?these people are not serious!!

I guess akikata rufaa ngazi za juu, hiyo hukumu ya kipumbavu itatupiliwa mbali.
 
:A S-baby:

OMG, So the game has started? So nice to watch and i like the players and the teams........

Halafu eti wanajidai kujivua magamba, what a shit?
 
Naona wameamua kumfanya ye kuwa ndo gamba, uhuru wa kuongea na vyombo vya habari au kutoa mawazo yako si ni haki ya binadamu? kwahiyo ccm wamamua kuendelea kuvunja haki za binadamu?
 
Ukitaka udumu ccm uwe muongo na mkubali yote ukisema ukweli tuuu chama huna pole azan kinondoni itakumis mbunge wao chma hovyo iko
 
Na bado, aliamini huu mchezo wa kuigiza wa kujivua gamba. Hili ni onyo kwa wana CCM wote, Msikurupuka mtachunwa ngozi.:A S-baby:
 
Ni vizuri asitishike na hiyo barua aliyopewa, anatakiwa baada ya siku 10 aanike huo uozo ndipo wananchi tutamuelewa.
 
huyu anaitwa Idd Azzan wa Kinondoni lakini kuna mbunge anaitwa Zungu wa Ilala sasa tusichanganye majina.
 
Back
Top Bottom