Maandamano si nyie mefanya kwa namna mpya yakushtukizaTeh Teh labda tusikie tarehe ya maandamo japo hayo ruhusiwa na mkikaidi mtatandikwa....
Mikutano hisiyo na tija kamwe haitoruhusiwa na mkikaidi mtatandikwa ..iwe pemba,Arusha ,mwanza...kama tumepotea wanaweweseka nini mpaka kuzuia mikutano...
Siri za walichofanya Tarehe 25 zitajulikanakama tumepotea wanaweweseka nini mpaka kuzuia mikutano...
Mliowapiga mlifaidi nini zaidi ya ukurunzinzaMikutano hisiyo na tija kamwe haitoruhusiwa na mkikaidi mtatandikwa ..iwe pemba,Arusha ,mwanza...
Hajui anachokikataa na anachokikubali lakini kifupi no mmoja ya watu waliotimuliwa kipindi cha zitto akafie mbali asiwapotezee muda...Kwahiyo unakii kuwa ulitimuliwa na zzk siyo?
Huyo nkurunzinza unamshinda niniMliowapiga mlifaidi nini zaidi ya ukurunzinza
Point hapa ni ulifukuzwa kutoka cdm kama mbwa kokoHuyo nkurunzinza unamshinda nini
MBOWE na Nkurunzinza wana tofauti IPI
HahahaHajui anachokikataa na anachokikubali lakini kifupi no mmoja ya watu waliotimuliwa kipindi cha zitto akafie mbali asiwapotezee muda...
Chama kinashikiliwa na watu wachacheUfipa hakuna nidhamu,kila mmoja boss. Mbowe ndiye owner wa chama,sauti yake ndo sheria ya ofisi. Dr Slaa tutamkumbuka kwa kujenga upinzani imara,CDM imara. Enzi za Dr Slaa,Mbowe na wenzake walikuwa wanakula shushu,mipangilio yote ni GS,hata nondo za kuongea kwenye vikao kama chairman anaandaliwa. Kuna tetesi vijana walimtayarishia hata makala za kuandika magazetini. Mbowe alionekana kichwa
Kuna Semika Elekezi inaendelea Morogoro unajua hilo?Unajua Mbowe na Mwalimu wako wapi?Fanya Tafiti kwanza mkuuSiasa za CHADEMA hivi sasa zimebaki bungeni tu, bunge limeisha tumesahaurika, hatusikiki, na wala hamna anayewafuatilia mambo yetu,
Watanzania wote wameamua kushirikiana na rais Magufuli na kuachana na siasa zetu za kikanda.
Hapa makao makuu ni ugomvi kila siku, Mbowe kamnunia Sumaye kwa kutamka hadharani eti magufuli ni Jembe. Lowasa anaanda mapinduzi ya kujipatia uenyekiti, Mnyika kajitenga na shughuli za utendaji, Kubenea ndo kajikabidhi uenezi wa chama.
Yani structure haifuatwi tena. ukibisha pitia hapa ufipa, ofisini pamepwaya. Zogo kubwa ni namna ya kugawana ruzuku, kuna watu wanataka kurudishiwa pesa kwanza walizotoa wakati wa uchaguzi.
MAGUFULI kwa mwendo huu, utatuumiza.
Mkuu unaanza kuingia mkenge lengo lao nibkujua tunafanya nini? dawa ni kuwaacha wasichue mipango yetu...Kuna Semika Elekezi inaendelea Morogoro unajua hilo?Unajua Mbowe na Mwalimu wako wapi?Fanya Tafiti kwanza mkuu
Kwa hiyo mmeishafilisika hoja kiasi cha kushangilia viashiria vya kushindwa democracy. Jenga tabia ya kujisomea itakusaidia kujenga uwezo wa kupambanua maswala ya msingi ili kujenga democracy ya kweli ambayo hata wewe na vizazi vyako vitaaihitajiMikutano hisiyo na tija kamwe haitoruhusiwa na mkikaidi mtatandikwa ..iwe pemba,Arusha ,mwanza...
Ha ha ha . Hebu amka usingzini. Chadema ndio iliyomfanya Magufuli afanye kazi kwa uadilifu miaka yote 20 akiwa wizara ya Ujenzi? Hebu ondoa Cheap popularity. Halina mjadala Mh. Magufuli ameingia Ikulu kwa Haiba na tabia yake yeye mwenyewe Period! eti Chadema whaat? Hebu acheni kudanganya uma mchana kweupe!CHADEMA NI CHAMA CHA KUKUMBUKWA SIKU ZOTE HATA KIKIFA KESHO KINA HISTORIA NCHI HII. KIMSINGI CHADEMA NDIO IMEMLETA MAGUFULI NA SIO HIVYO TU HATA KUMFANYA MAGUFULI AFANYE HAYA MACHACHE TUNAYO ONA ANAYAFANYA, MAANA BILA YA PRESSURE YA CHADEMA, CCM WASINGETAFUTA MTU KAMA MAGUFULI NA HATA KAMA ANGEPATIKANA KWA MIKAKATI YAO WAO CCM, WANGEMDHIBITI KWA MATAKWA YAO YA KILA SIKU TANGU KIINGIE MADARAKANA. NA HATA SASA TUKIJISAHAU TU, CCM WANARUDI BUSINESS AS USUAL.
"WE DON'T HAVE TO BE OVER COMPLACENCY"
Kwel chadema ndiyo iliyomfanya awe dalali wa nyumba na kuingiza hasara ya serekali ya bilion 950Ha ha ha . Hebu amka usingzini. Chadema ndio iliyomfanya Magufuli afanye kazi kwa uadilifu miaka yote 20 akiwa wizara ya Ujenzi? Hebu ondoa Cheap popularity. Halina mjadala Mh. Magufuli ameingia Ikulu kwa Haiba na tabia yake yeye mwenyewe Period! eti Chadema whaat? Hebu acheni kudanganya uma mchana kweupe!