Ufipa: Heaven on Earth

huna jipya dada!pole sana.
 


Post yake tayari imechakaa kama libendera lenu.
 
Kojoa ukalale..naona viti maalumu ...hupati...sasa ...imekuma hii ndio chadema
 

Uko kwenye tope zaidi maana hata mwenyekiti wako kumbe ni walewale.Na yeye hana tofauti na Chenge...Umeambiwa Mwenyekiti wako Richmond lilikuwa deal lake.

Kwa uhakika Pamoja na kwamba Lowassa is not part of my cake lakini naomba nikuulize swali na unijibu kwa facts ili usije ukavuliwa uanachama huko:

1.Lowassa alijiuzulu miaka nane iliyopita tunaomba utueleze nani alitengeneza deal la Escrow?

2.Deal La BVR kits ni la nani?Maana zile machine ni za zamani sana na mbaya zaidi ni second hand aka used machines sasa wewe I msomi kama ni used materials mbona pesa zilizotumika ni kwa ajili ya kununua brand new machines?

3.Imekuwaje sisi Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja lakini wenzetu mashine zao ni very updated na brand new?

4.Rushwa na ufisadi ulioongezeka kwa kiasi kikubwa hivi ni nani muhusika mkuu?

Kama siyo Lowassa then huko Lumumba MASHETANI YAMEZIDI ndiyo maana Lowassa kaikimbiza roho yake apate kuuona uzima wa milele and this I mean it.

Angalia Mdogo wangu uwe unajitahidi kuweka AKIBA ya maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…