UFILIPINO: Rais Durtete ameahidi kujiuzulu kama atatumiwa selfie ya Mtu akiwa na Mungu

Huyu mzee yuko vizuri sana., naamini sana amewashika pabaya sana Wakiristo, wakiristo mambo mengi hujiongelea tu kwa huyo yesu lakini ukienda kwenye maandiko yao wanapwaya sana ni maneno wanalishana mdomoni tu.

Ni vizuri kauli hizi zinakuja kutoka kwa kiongozi wa Nchi fulani ili dunia itambue udhaifu wa dini ya kikiristu. Hilo kanisa katika kitabu chao kurasa zote hamna mahali pameandikwa yesu aliingia Church. Lakini pia hakuna katika kitabu chao yesu anasema yeye ni Mungu na watu wamuabudu.

Ukiristo ni dini imeanzishwa kimila na wanaozaliwa wanafuata tu kama umebahatika kuzaliwa na familia ya kikiristu. Lakini ukijibizana na wakiristu juu ya udhaifu huu wanatoa matusi sana badala ya kuleta ushahidi wa dini yao.
hasa wakristu mavi wa huku afirika.
 
Ukishatafakari unapata jibu ni Mungu ndio amefanya hayo yote?

Uvivu wa kufikiri na akili ndogo ndio inaweza kuwaza hvyo.

Wewe ulietumia kichwa chako na kufikiria vya kutosha tuambie uwezekano wa hayo unatokana na nani? Mana yesu alipozaliwa na Bi Maryam tayari dunia na vilivyomo ilishakuwepo, kwa iyo suali kabla ya yesu kuzaliwa aliyeumba dunia na vilivyomo ni nani?
 
Mkuu unamanisha ninii hapa?
namaanisha kuacha kukosa akili mengine yote huwatokea wanyama na wadudu,kama kuzaliwa kufa kuzaana ni mwisho wote wana ukomo wa kuishi,hivyo baadhi ya vigezo havitoshi kuthibitisha uwepo wa mungu.nijuacho mimi ni kwamba uwepo wa nguvu iliyo kuu waweza kuwepo lakini si hii inayotajwa kwenye quraan na biblia.pengine dini zetu za jadi zilikuwa na utukufu zaidi ya hizi BORA TUIAMSHE MIZIMU.
 
Kuna mtu kampelekea Duterte selfie au bado?
Sasa hata akipelekewa atajuaje kuwa hasa ndiyo mwenye? mfano mie niweke picha hapa na kusema kwenye hiyo picha ni mimi,we utaweza kujua kuwa kweli ni mimi na si mtu mwengine?
 
Katika uzinduzi wa Tamasha / shughuli ya sayansi na teknolojia Kusini mwa nchi ya Ufilipino, Rais Rodrigo Duarte Durtete alitoa changamoto ya 'bongo' ili kuchochea wafilipino kujikita ktk utafiti kisayansi zaidi :


“I just need one witness who will say, ‘Mayor, those fools at the church ordered me to go to heaven and talk to God. God really exists. We have a picture together and I brought a selfie,’” he added, during the opening of a science and technology event in southern Davao city.
 
Sasa hata akipelekewa atajuaje kuwa hasa ndiyo mwenye? mfano mie niweke picha hapa na kusema kwenye hiyo picha ni mimi,we utaweza kujua kuwa kweli ni mimi na si mtu mwengine?
Kamuulize Duterte.

Anakwambia thibitisha,ukishindwa anakupiga risasi.
 
Dini ya kiislamu ndio dini pekee sahihi: Quran Allah anasema ''Enyi watu nimekujaalieni dini ya kiislamu kuwa ndio dini yenu..''.

Hili ni andiko lipo katika kitabu kitukfu ambacho mpaka leo hakuna aliyetoa mfano wala kuingiza mkono wake, na mpaka hivi sasa katika kitabu cha wakiristo hakuna mahalai popote yesu amewapa wakiristo dini.
Acha uongo. Qur'an ni plagiarism ya Bible kama ambavyo Bible yenyewe ni plagiarism ya dini za kale kama Zoroastrianism
 
Wakuu mpelekeeni hiyo hapo
FB_IMG_1531661410181.jpg
 
Kama huamini dini na akili yako iko sawa sawa na macho unaona jinsi ardhi ilivyotandikwa na mbingu zimesimama bila tegemezi yeyote, usiku na mchana, jua hutoka mashariki kwenda magharibi, mwezi kungaa, bahari na vilivyomo, mvua hunyesha, nyota zilizo juu hungaa wakati wa usiku nk.

Inataka moyo sana kwa mwanadamu wa kawaida na ujinga wa hali ya juu kabisa kwa mwadamu huyo huyo bila kukaa kitako angalau saa 1 kwa siku na kutafakari uwezekano wa yote hayo yamekujaje kujaje.
Hivi Allah ndiyo Jehovah?
 
Back
Top Bottom