dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,244
- 57,714
Zinasema vya vya upinzani vinaweza kushirikiana na kuunda kambi ya upinzani.
Chadema wangeweza kufanya hivyo bila tatizo isipokuwa kitendo cha Shetani kushinikiza kinyume na taratibu ilithibitisha pasi na shaka nia ovu iliyokuwemo ndani ya chapuo lililokuwa linapigwa na hao wanaojiita wapinzani na "mfadhili" wao.