Ufike muda wake za watu wawekewe alama

Ufike muda wake za watu wawekewe alama

Linyo

Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
83
Reaction score
12
Ndugu wana mmu ila limekuwa likinikera sana kuona wanawake ambao wapo kwenye ndoa ndio wanakuwa wanaongoza katika kuanzisha michepuko ni bora wakiwekewa alama itasaidia japo sio kupunguza michepuko
#habari_mnayoo #
 
Wawekewe Guest Alarm tu mkuu...

Papuchi ikiguswa na kidume tofauti na mume halisi, basi system za auto photo kwenda kwa mwenye mali zifanye kazi!

Alarm nazo za hack alert nazo zifungwe kabisaaa! dadeki....

kama mnavaa mat.---- bandia na kuchomwa sindano za kukuza hipsi, alarm ndo zitashindwa?

Similar to husbands..
 
Nina wasiwasi kama hii judgement yako kama iko fair why wanawake tu na sio na wanaume? Na nini tafsiri ya mchepuko? Mbona mnatukinga ambao hatupo kwenye ndoa? Mke wa mtu akichepuka nje ya ndoa nina imani huyo kijana anayetoka naye na yeye ana mpenzi wake then kwanini mke wa mtu ndo awe mwenye makosa ni kigezo kipi basi tunatumia kuhalalisha usaliti wa huyu kijana kwa mpenzi wake kwamba yeye hana makosa bali yule mke wa mtu anayetoka naye? Well Binadamu si bidhaa wala si mnyama na huwezi kumzuia mtu kufanya kitu akiwa na nia yakutekeleza jambo lake. Nafikiri hujui alama aliyonayo binadamu ile ni kiboko si mwanamke si mwanaume wote tunayo na unaijua wewe tu. We nenda kinyume na Amri 10 za MUNGU afu utaona nafsi yako inavyokusuta hiyo ni Alama tosha haihitaji nyingine na inafanya kazi 100%
 
hapo mkuu umenena kitu maana watu wanaangalia upande mmoja wakati kila mtu ana mchango katika kufanya hiyo michepuko
 
Kwanini wawekewe alarm?? Wamekuwa wanyama?? Wao wana dhamira na utashi wa kujua mema na mabaya, hivyo waachwe kama walivyo.

Similar to men.
 
Wakiwekewa alam serenget boiz watapata wapi ela ya bia?
 
acha ubinafsi na mfumo dume hapa...... wanaume mnachepuka mwaka mzima sijapata dudu nikae tu kisa nimeolewa babuee mihemko ya mwili hatuitengenezi inakuja automatic so ni lazima itulizwe okey
 
Ndugu wana mmu ila limekuwa likinikera sana kuona wanawake ambao wapo kwenye ndoa ndio wanakuwa wanaongoza katika kuanzisha michepuko ni bora wakiwekewa alama itasaidia japo sio kupunguza michepuko
#habari_mnayoo #

Hiyo ni dalili ya kutokujiamini mkuu...ka vipi muwekee wa kwako ili tukimuona tusimtongoze, walau tukupunguzie presha kidogo
 
acha ubinafsi na mfumo dume hapa...... wanaume mnachepuka mwaka mzima sijapata dudu nikae tu kisa nimeolewa babuee mihemko ya mwili hatuitengenezi inakuja automatic so ni lazima itulizwe okey

Umenena vema bi dada...ukitaka kuchepuka,chepukia kwangu niko tayari kwa ajili yako
 
Ndugu wana mmu ila limekuwa likinikera sana kuona wanawake ambao wapo kwenye ndoa ndio wanakuwa wanaongoza katika kuanzisha michepuko ni bora wakiwekewa alama itasaidia japo sio kupunguza michepuko
#habari_mnayoo #

Michepuko ni kama rushwa - lazima wawepo watu wawili, mtoaji na mpokeaji. Hali kadhalika michepuko, mwanaume na mwanamke wachepukaji lazima wawepo ili mchepuko ukamilike.
 
Back
Top Bottom