Nyani, kwani nawe unazipiga?!
....mimi nilicheza zamani sana jijitsu (kama aka 12 hivi), ila najiona bado wamowamo, saa nyingine nakuwa najiamini kupita kiasi haswa haswa nikiwa navinjari viwanja utafikiri itanisaidia vile, hali ugomvi wa mle ni wa vyupa, spring knives na ukiwa na bahati mbaya sana bastola!! Ni ile hali tu yakuwa unajua/ulijua kitu ndiyo inakuingia na kukututumua kichwa haswa pale tungi linapopanda!!
Kwel kabisa...Miaka hiyo wengine wazo la kumiliki simu tunajua halipo miaka ya karibuni na uwepo wa JF hatuujui
Nipo JF kila siku asee
Anakuja kuwek world record 3 weights championsAlex Pereiraโฆโฆ
Inasemekana alikua anatumia AsteroidsYule sijui Jon Jones anaroho mbaya sana. Anapiga mno
Kwel kabisa...
Naona angle zako sijakukuta ...
Nimefurahi kuona upo ubaki Salama mkuu
Razorblade ๐๐Nimefurahi kukuona pia
Msalimie yule kijana niliyemtoa uvulana wake,ID yake jina limenitoka
Enhee Razorblade ๐
Yupo tu analalamaEnhee Razorblade ๐
Pamoja na madawa yake ila jamaa anaskills za mapigano balaa. Francis Ngannou anangumi nzito ila hana skills kama Bones nilitamani sana hili pambano litokee.Inasemekana alikua anatumia Asteroids
Mmemfanyaje? ๐Yupo tu analalama
Kudeka tuu hana jipya huyu๐Mmemfanyaje? ๐
Nipo hukumixed martial arts
Kijana wetu last born wa JFKudeka tuu hana jipya huyu๐
Kazi kwel kweli tupo tunapambana nae๐Kijana wetu last born wa JF
๐๐๐Kazi kwel kweli tupo tunapambana nae๐